nver gve up
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 247
- 118
achana nalo hilo wana wake wa cku hiz yamekuwa maongo mpaka bas piga chini huyoooo
Mh!kuna wanaume wenye mapenzi bwana.mleta mada nimekupenda bure wewe sio wa dar.Mungu atakubariki hadi ushangae
DuhNgoja ngoja utakuta mwana si wako..ilikuwaje ukashindwa mtia mimba kabla hajatiwa mimba? Au wewe ulikuwa unataka ukae nae kama pambo? Labda hujui kitu, mimba huingia hiviii, watu wanakutana nyama kwa nyamaa kavu kavu, kwa hiyo huyo unayemuita mchumba alimpa jamaaa kitu dry, unajua nini? Sijaona umeandika kama alibakwa, ina maana alikuwa amependa, ndugu hakuna mchumba hapo angalia maisha yako, mke bora huja automatically, na sio manual.
DuhNgoja ngoja utakuta mwana si wako..ilikuwaje ukashindwa mtia mimba kabla hajatiwa mimba? Au wewe ulikuwa unataka ukae nae kama pambo? Labda hujui kitu, mimba huingia hiviii, watu wanakutana nyama kwa nyamaa kavu kavu, kwa hiyo huyo unayemuita mchumba alimpa jamaaa kitu dry, unajua nini? Sijaona umeandika kama alibakwa, ina maana alikuwa amependa, ndugu hakuna mchumba hapo angalia maisha yako, mke bora huja automatically, na sio manual.
vp umefikia maamuzi gani??
Nilimsafirisha kwao ila amekubali tuitoe hiyo mimba ila nataka aitoe akiwa kwao lakini akija nitaenda kupima kama ameitoa kweli,kama hajaitoa bora achukue vitu vyake vyote asepevp umefikia maamuzi gani??
Nataka tukaitoe akirudi kutoka kwaoacha ubwege mkuu angekuwa anakupenda asingekusaliti km alibakwa mbona hakwenda mahakamani ww mwnyw life ngum afu ulee mtoto wa mtu life imekuwa ngumu hiv
Akaa dar miezi mitatu mimba ina miezi miwiliFACTS,....
Unapo anzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yoyote usiyemfahamu tambua ya kuwa wengi wao huwa sio wakweli.Ni hivi ni wachache sana kweli akasema yupo single na ikawa kweli.ila wengi wao huwa wapo katika mahusiano ambayo kama sio yanalegalega basi hiyo siku uliye mtongoza akakukubalia walikuwa na mgogoro na mpenzi wake so kakukubalia ili wewe uwe hand bag apozee machungu tu,na pindi wakiombana msamaha kazi unayo..
Kwa hilo lako..madhali umesha jidhatiti kuwa utamuoa endelea na msimamo huo kwani sina maana kuwa hakuna wanawake ambao ni wa kweli.ingawa swali linakuja kwann siku aliyobakwa hakukutaarifu ili ujue mnafanya nn?.pia je hiyo mimba Ina miezi mingapi approximately(je inaendana na maelezo yake).
Mh...hapo pana ukakasi.akili kichwani mwako
POLE SANA BRO NAKUONA BADO UNASHINDWA KUMWACHA HUYU BINTI NAONA MAJI UMEYAVULIA NGUO ULIPINGA SANA DHAMBI YA KUTOA MIMBA NOW UNADHAMIRIA HIVO KUNA MDA ULISEMA HAPO JUU UNAMWACHA SAAHIZI TENA DAAH POLE AISEENilimsafirisha kwao ila amekubali tuitoe hiyo mimba ila nataka aitoe akiwa kwao lakini akija nitaenda kupima kama ameitoa kweli,kama hajaitoa bora achukue vitu vyake vyote asepe
Sio demu wangu wa kwanza ni kwamba sikua na michepukomtoa mada wewe ndio tatizo kwa kushindwa kumwacha huyo dada. Halafu inaonekana ndio demu wako wa kwanza maana umedata mpk hujielewi
Pole sana mkuu mungu akupe subira,hekima,busara na maamuzi sahihi mimi sina cha kukushauri labda huyu akushauri Me tooHabari za muda Huu wakuu.
Mwanzoni mwa mwaka Huu nilikuwa natokea moshi kwenda arusha nakumbuka nilikuwa nimepanda basi la lim safaris, akaja mdada mmoja akakaa karibu na siti niliyokaa mimi.
Wote tulikuwa kimya kwa mda mrefu ila nikaona nianzishe mazungumzo ya hapa na pale mwisho tukabadilishana namba za simu. Tulipofika arusha tukawa tunawasiliana kama kawaida.
Mimi nikarudi moshi kuendelea na kazi yangu ambayo mpaka leo naendelea kuifanya ila mwisho wa wiki nikawa narudi arusha ili nionane nae pia nifanye usafi chumba changu kwani sijahama arusha ila mwezi wa7 ndio nahamia moshi kwani nimepata kazi ya kudumu tofauti na ya mwanzo ambayo ilikuwa ya mda mfupi.
Baada ya kuwasiliana na huyu mchumba wangu kwa muda wa mwezi mmoja akaniambia kuna mama mmoja amekuja anatafuta msichana wa kumsaidia kazi ya duka huko DAR ikabidi nimruhusu akafanyekazi ila kwa muda wa miezi mitatu halafu nimtumie nauli arudi.
Baada ya kufanyakazi kwa muda wa wiki mbili huyo mama akamfukuza pia hakumpa nauli ya kurudi mimba ambayo sio yangu nikifikiria kuitoa anaweza akafa pia ni dhambi kutoa mimba pia na yeye amekuwa muwazi na mkweli kwangu.
Nipo kwenye mchakato wa kuitoa ndani ya wiki hii.Duh kuna wanaume wana mapenz ya dhati kwa kweli lakn hawabahatiki, naamin ukiachan na huyo mjamwepesi Mungu atakupa wa kufanan na wewe
Mkuu nimezungumza nae kuhusu kuitoa amekubali ila yupo kwao nataka aitoe huko huko akija nitaenda nae tena kupima kama kaitoa kweli.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, thread inayofata ni '' mke wangu anasafiri sana kwenda dar'' kisha itafuatia ''mke wangu haishi kuzungumza na mzazi mwenzie'' baada ya muda '' mke wangu ananisaliti'' hebu jiokoe mawanawake yapo ka semi mia mjini unaanza kungangana na kademu kanakobakwa hakatoi taarifa wala hakaendi polisi mfsyoooooo