Mchumba wangu ana karama ya unabii, ananitisha!

Test kuchepuka uone kama ataona.

Kaa nae chini myapange, akupe odds za uhakika ubet mkale maisha Malibu.
 
Wakili mpumbavu. Wewe huchukui desa hata kwa watu wa CCM, kwamba ukipewa hata maji ya kunywa, hata Ile chips usiiguse.
Sasa wewe unafakamia mi beer ya watu, huku unaacha pombe mezani unakwenda chooni.
 
Binafsi naogopa Sana watu waonaji( watabiri)
Yaani unakuta mtu anakutabiria kwamba utakutwa na Jambo zito Sasa badala ya kukupa muongozo jinsi ya kuliepusha lisitokee yeye anajikalia tu kimya.
Very pathetic!
Umeongea point ya msingi sana.

Nabii wa Mungu akileta ujumbe wa tatizo fulani lazima aeleze sababu ya hilo tatizo, halafu atatoa maagizo ya Mungu nini kifanyike ili kuepuka hilo tatizo.

Ukikaidi kufuata hayo maagizo ndipo utakumbana na hilo tatizo.

Sasa huyu mleta mada anachekacheka tu hovyo kwenye kila comment kwenye mambo serious ya Unabii, otherwise huyo mchumba wake ana mapepo ya utambuzi.
 
You have spoken my mind..

Imefikia hatua namuogopa huyu binti...
 
Wakili mpumbavu. Wewe huchukui desa hata kwa watu wa CCM, kwamba ukipewa hata maji ya kunywa, hata Ile chips usiiguse.
Sasa wewe unafakamia mi beer ya watu, huku unaacha pombe mezani unakwenda chooni.
Mimi sio mpumbavu, labda ww.

Sinywi pombe,nilikuwa nakunywa maji.
 
Umeongea point ya msingi sana.

Nabii wa Mungu akileta ujumbe wa tatizo fulani lazima aeleze sababu ya hilo tatizo, halafu atatoa maagizo ya Mungu nini kifanyike ili kuepuka hilo tatizo.

Ukikaidi kufuata hayo maagizo ndipo utakumbana na hilo tatizo.

Sasa huyu mleta mada anachekacheka tu hovyo kwenye kila comment kwenye mambo serious ya Unabii, otherwise huyo mchumba wake ana mapepo ya utambuzi.
Nilitamani uniulize nikuelezee, badala yake umehukumu.

Sawa.
 
Mimi sio mpumbavu, labda ww.

Sinywi pombe,nilikuwa nakunywa maji.
Wewe Ni mpumbavu maana hauko makini na ujue upumbavu Ni kipaji. Kama unaweza kuwekewa sumu kwenye maji mchana kweupe ungekua unakunywa pombe si ungeokotwa Pongwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom