Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

Pole sana kaka chamsing ni kuachana na huyo msichana,ukaweka akili yako yote kwenye masomo usije disco kisa mapenz.kusema ukwel huyo bint kakuzalilisha ila mwombe Mungu atakusaidia.
 
Sali kuna mtu namfahamu alipatwa na mkasa kama wako hakumuacha binti alimuooa na leo hii wana wajukuu
 
Pole sana , cha msingi kaa chini tuliza akili , na achana nae hafai kwa haijalishi mimba ya mme wa mtu au single. Maana nashindwa kumwelewa huyo bint kwani unapoamua kuwa mapenzin ni lazima ubebe ujauzito? Huyo bint nadhan hana msimamo hivyo shukuru mungu kakuepushia.

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
kaka ilo chaka.kimbia mbio!!!atakuleteaga mwongine mkiwa ktk ndoa alielie tena na hpo utakua ushapgwa ping.so kama we mjanja Toka nduki
 
tafuta mwingine huyo hakufai tena

Wanawake wako wengi sana. Tena wengine wema na wanahitaji mume wa kuishi nao ila wanaume tunafakamia wanawake waruwaru. Amecheat, bila condom, mpaka mimba! Huyo hastahili. Hata kulia kwake anakujaribu tu kuona ulivyo -----
 
Wanajamvi ni masikitiko na majonzi kwangu na kuumia sana moyo...maana nilitokea kupendana sana na binti mmoja wa kisukuma na hata kutambulishana kwa familia zetu...mwaka jana nimebahatika kupata nafasi ya masomo nchini Afrika Kusini...na mwaka huu niliporejea nchini nimemkuta mchumba wangu tayari ni mjamzito wa miezi mitano...maana nilirudi tu bila kumpa taarifa kuwa narudi kwa likizo, na hapo alihamaki sana kuniona ghafla nyumbani kwao...tayari akiwa na tumbo kubwa.

Basi baada ya salamu na kumuomba kwa upole tutoke ndipo akanisimulia mkasa wote kuwa amepata mimba na muhusika ni mume wa mtu ambaye ni mfanyakazi mwenzake ofisi moja. Binti analia na kuniomba msamaha kwa lililotokea na anataka tuendelee na mipango yetu ya awali. Sikutaka kumwambia chochote zaidi ya kubaki na mshangao wa tukio zima na kuona kama movie ya kibongo.

Wadau kiufipi nipo katika msongo mkubwa wa mawazo na hasa aibu kwa wazazi wangu ambao walimpenda sana huyu binti na kuona ni hazina ya mke mwema katika maisha yangu.

Nawakilisha kwenu wadau kuomba mawazo na uzoefu wenu katika hali ya namna hii...ninyi mnaniambia nini. Shukrani hapa nimeweka kwa ufupi hasa mawazo makuu ya mkasa wenyewe.

Acha ubwege, ni wachache wanaweza kuwa namaamuzi ya kuoa wasaliti. Tutabwabwaja mengi ila ukweli unao wewe. Fanya kile akili yako inakutuma kufanya. Ushauri huu ni mgumu.
 
Wanajamvi ni masikitiko na majonzi kwangu na kuumia sana moyo...maana nilitokea kupendana sana na binti mmoja wa kisukuma na hata kutambulishana kwa familia zetu...mwaka jana nimebahatika kupata nafasi ya masomo nchini Afrika Kusini...na mwaka huu niliporejea nchini nimemkuta mchumba wangu tayari ni mjamzito wa miezi mitano...maana nilirudi tu bila kumpa taarifa kuwa narudi kwa likizo, na hapo alihamaki sana kuniona ghafla nyumbani kwao...tayari akiwa na tumbo kubwa.

Basi baada ya salamu na kumuomba kwa upole tutoke ndipo akanisimulia mkasa wote kuwa amepata mimba na muhusika ni mume wa mtu ambaye ni mfanyakazi mwenzake ofisi moja. Binti analia na kuniomba msamaha kwa lililotokea na anataka tuendelee na mipango yetu ya awali. Sikutaka kumwambia chochote zaidi ya kubaki na mshangao wa tukio zima na kuona kama movie ya kibongo.

Wadau kiufipi nipo katika msongo mkubwa wa mawazo na hasa aibu kwa wazazi wangu ambao walimpenda sana huyu binti na kuona ni hazina ya mke mwema katika maisha yangu.

Nawakilisha kwenu wadau kuomba mawazo na uzoefu wenu katika hali ya namna hii...ninyi mnaniambia nini. Shukrani hapa nimeweka kwa ufupi hasa mawazo makuu ya mkasa wenyewe.

chonde! chonde! usije ukadesa file la Anthely Mushi!

On a serious note: majibu yote unayo mwenyewe...tumia kichwa kufikiri na si moyo wako.

wasalaam,

Shadow.
 
Wanajamvi ni masikitiko na majonzi kwangu na kuumia sana moyo...maana nilitokea kupendana sana na binti mmoja wa kisukuma na hata kutambulishana kwa familia zetu...mwaka jana nimebahatika kupata nafasi ya masomo nchini Afrika Kusini...na mwaka huu niliporejea nchini nimemkuta mchumba wangu tayari ni mjamzito wa miezi mitano...maana nilirudi tu bila kumpa taarifa kuwa narudi kwa likizo, na hapo alihamaki sana kuniona ghafla nyumbani kwao...tayari akiwa na tumbo kubwa.

Basi baada ya salamu na kumuomba kwa upole tutoke ndipo akanisimulia mkasa wote kuwa amepata mimba na muhusika ni mume wa mtu ambaye ni mfanyakazi mwenzake ofisi moja. Binti analia na kuniomba msamaha kwa lililotokea na anataka tuendelee na mipango yetu ya awali. Sikutaka kumwambia chochote zaidi ya kubaki na mshangao wa tukio zima na kuona kama movie ya kibongo.

Wadau kiufipi nipo katika msongo mkubwa wa mawazo na hasa aibu kwa wazazi wangu ambao walimpenda sana huyu binti na kuona ni hazina ya mke mwema katika maisha yangu.

Nawakilisha kwenu wadau kuomba mawazo na uzoefu wenu katika hali ya namna hii...ninyi mnaniambia nini. Shukrani hapa nimeweka kwa ufupi hasa mawazo makuu ya mkasa wenyewe.

Hongera sana kwa kupata mtt
 
Kama unahitaji pole utapata, uamuzi wa kuchukua unaujua vizuri tuu, wee pingana na akili tu ujidanganye kuufuata moyo....!!
 
sometime giving someone a second chance is like giving them an extra bullet for their gun•because they missed you the first time!!!!!be wise huyo demu wako Malaya atakup ukimwi this time.we jitie unamapenzi ya kifilipino
 
Akili ukizitumia vizuri zinaweza kuwa ni mtaji na kipato kikubwa sana katika maisha ila ukizitumia vibaya,itakuwa ni njia ya majuto milele na milele!
Kakusaliti,naamini hata wewe huko south ulikuwa unagegeda (hakuna tatizo)
Kapata mimba,ila wewe haujampa mwanamke ujauzito (kakuzidi)
Sio muaminifu kwa kuwa hakutumia kinga,na mpaka kakubali kupata ujauzito ujue huyo hakuwa na malengo na wewe!Piga chini anza mwendo.
 
Tupaaa kule wanawake wamejaa haikua bahati yko, smtym mpnz yana reason zke huyo bt hakukupenda toka mwanzo ilikuaje akagegedwa bila kinga kwa maisha y sasa
 
Kuna vitu vigumu kusamehe jamani...!! Duuh...

Sasa hapo anaomba msamaha ili wewe ukubali kulea huyo mtoto au?

Mi sio mwanaume lakini huo upuuzi nisinge ukubali kabisaa..!
 
Wanajamvi ni masikitiko na majonzi kwangu na kuumia sana moyo...maana nilitokea kupendana sana na binti mmoja wa kisukuma na hata kutambulishana kwa familia zetu...mwaka jana nimebahatika kupata nafasi ya masomo nchini Afrika Kusini...na mwaka huu niliporejea nchini nimemkuta mchumba wangu tayari ni mjamzito wa miezi mitano...maana nilirudi tu bila kumpa taarifa kuwa narudi kwa likizo, na hapo alihamaki sana kuniona ghafla nyumbani kwao...tayari akiwa na tumbo kubwa.

Basi baada ya salamu na kumuomba kwa upole tutoke ndipo akanisimulia mkasa wote kuwa amepata mimba na muhusika ni mume wa mtu ambaye ni mfanyakazi mwenzake ofisi moja. Binti analia na kuniomba msamaha kwa lililotokea na anataka tuendelee na mipango yetu ya awali. Sikutaka kumwambia chochote zaidi ya kubaki na mshangao wa tukio zima na kuona kama movie ya kibongo.

Wadau kiufipi nipo katika msongo mkubwa wa mawazo na hasa aibu kwa wazazi wangu ambao walimpenda sana huyu binti na kuona ni hazina ya mke mwema katika maisha yangu.

Nawakilisha kwenu wadau kuomba mawazo na uzoefu wenu katika hali ya namna hii...ninyi mnaniambia nini. Shukrani hapa nimeweka kwa ufupi hasa mawazo makuu ya mkasa wenyewe.

Ndugu yangu mshukuru Mungu kwa hilo. Nimekumbana na case kama yako lakini niliichukulia kama majibu ya Mungu kuwa huyo mwenzangu hakuwa mwaminifu kwangu kwa mbali sana. Fikiria, katembea na mume wa mtu tena pekupeku katika zama hizi. Mwambie mungu asante jipange kupata aliye bora zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom