Mchumba wangu amenizimia simu

Mchumba wangu amenizimia simu

anamaanisha she is fed up she cannot take it anymore mkuu kwa sababu labda ni tabia yako ya mara kwa mara na ameshakueleza inamkera na hutaki kubadilika unless otherwise scenario iwe tofuti
bora umwambie uyo coz inaelekea anajifanya msela don't care
 
Mkuuu vyupi vingi hivi mtaani unahangaika na kyupi kimoja..... dawa yake ndogo sana piga chini na kaa kimya pia...."

Akijileta kuomba msamaha unamweka machine then mkataba unakuwa umeishia hapo hawa viumbe ukiwambembeleza wanakupanda kichwani mkuu.....
Ampelekee magonjwa sindio....,k yakukaa muda mrefu bila maelewano halafu mnakuja kutafutana baadae ni hatari sana kiafya.

Ampelekee magonjwa sindio....,k yakukaa muda mrefu bila maelewano halafu mnakuja kutafutana baadae ni hatari sana kiafya.t
 
Kama mpo mikoa tofauti basi tena kuna mtu amekupiku
 
Ampelekee magonjwa sindio....,k yakukaa muda mrefu bila maelewano halafu mnakuja kutafutana baadae ni hatari sana kiafya.

Ampelekee magonjwa sindio....,k yakukaa muda mrefu bila maelewano halafu mnakuja kutafutana baadae ni hatari sana kiafya.t
mkuu kuna kinga na KY-gel.... afu si lazma siku mkikutana mlane nyamanyama....
 
Washamseduceeeeeeee hureee

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
We si akili hazikutoshi bana!!? Sasa kwanini asipokee dume ilihali ufahamu wako umekuaminisha kupata contact za mke wangu kutoka kwangu ili um-seduce!
Insanity

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimelipiga biti likawa dogo kama piriton. Mkwara wangu ulikuwa mzito. Limeomba msamaha na mimi nikalieleza kuwa nikiliona lijue marinda kwaheri. Hivyo nishukuru kwa kukimbiza mbaya wako
 
Back
Top Bottom