kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,687
Mchumba wangu amenizimia simu mara tu baada ya kutomjibu msg zake kwa wakati, Leo ni siku ya 8 sasa.Wakuu hii inaashiria nini? Na nifanye nini? (Tupo mikoa tofauti kikazi).
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nane? Pole sana mkuu! Inaonekana wewe kwake ulikuwa kama geresha tu ndio maana hakuona tabu kukuzimia simu kwa hizo siku nane.