Mchumba wangu amenizimia simu

Mchumba wangu amenizimia simu

The Hidden

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
246
Reaction score
102
Mchumba wangu amenizimia simu mara tu baada ya kutomjibu msg zake kwa wakati, Leo ni siku ya 8 sasa.Wakuu hii inaashiria nini? Na nifanye nini? (Tupo mikoa tofauti kikazi).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nnavyojua wanawake, hapo anataka hiyo hela aliokuomba umpelekee kwake
 
Mkuuu vyupi vingi hivi mtaani unahangaika na kyupi kimoja..... dawa yake ndogo sana piga chini na kaa kimya pia...."

Akijileta kuomba msamaha unamweka machine then mkataba unakuwa umeishia hapo hawa viumbe ukiwambembeleza wanakupanda kichwani mkuu.....
 
Hahhah daaaah aya bana ila sipendagi kubadilibadili wapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu vyupi vingi hivi mtaani unahangaika na kyupi kimoja..... dawa yake ndogo sana piga chini na kaa kimya pia...."

Akijileta kuomba msamaha unamweka machine then mkataba unakuwa umeishia hapo hawa viumbe ukiwambembeleza wanakupanda kichwani mkuu.....
Duhh.....
Hatari sana...
 
Huwezi jua kapatwa na mabalaa gani.. Labda simu imepotea, umeme hakuna, hana vocha, anakujaribu, yupo kwenye maombi, yupo bize na maisha..

Kubwa zaidi labda kampata njemba saa hizi anabiringishwa kwenye kitanda..
 
Nawewe mzimie simu.hapo mtaenda sawa.
"Akupigaye ngumi ya uso wewe mpige ya sikio akikuliza unaonaje mwulize yeye anasikiaje" by FID Q
 
Back
Top Bottom