Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Tafuta mchumba mwingine mkuu labda kama, sorry kukwambia hivi.




NB:Niliwahi kuwa na mchumba miaka kadhaa iliyopita akaenda JWTZ, mipango yote ilivurugika..... saizi ni rafiki tu ni captain yupo hapo upanga,amezaa na wanaume watatu tofauti, daah ni story ndefu ila inasikitisha maana huko majeshini kuna mengi,japo usichana wake ni dhambi yangu πŸ˜”
 
kama unampenda sioni sababu ya wewe kumuacha kisa tu anakwenda kuwa askari polisi labda kama kuna jingine hujaliweka wazi.
mwanzo niliovereact tu ila sasa hivi nishakubali ,siwezi kumuacha ntakua naenda kumtembelea
 
Likija suala la wanawake kujitafuta na kujipambania watu wengi mnatanguliza negativity nyingi
Mbona hamuongelei suala la jamaa kwenda kusoma masters.
Yaani kila mwanamke mnaona priority yake ni umalaya tu
Shame on you!!
 
Vijana mnaoteswa na mapenzi huwa nawachukulia kama wapumbavu wa mwisho ukitoa machawa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila MM jamaniii, waache wenzio wateseke na mapenzi hadi wakufe. Lol
 
vumilia arudi uje uichape iyo kitu ,me na Mjeshi huwa namchapa na sare zake kufidishia machungu ya deni la taifa , saiv kuna trafiki anaingia mtegoni lazima akae na sare zake πŸ’₯
 
Wata.tomba sana ila usiwe na wasi wasi kwa sababu hukumkuta bikira.

Anaweza kumaliza mafunzo ya upolisi na asifanye hiyo kazi kama kweli wewe una hela
This sender isn't in your Contacts
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila MM jamaniii, waache wenzio wateseke na mapenzi hadi wakufe. Lol
Vijana ni wajinga sna hawajui hata maana ya mapenzi na kujiweka mbele wao kama wao kazi yao ni kujali tu kisa demu analo takoπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…