Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Nipe
Nipe namba yake nimuunganishe na wakuu asiend kuteseka
 
Usishawishike kumwacha abadan. Hawa watu wakishavua sare wengi huwa ni wangwana sana. Nimeshuhudia familia nyingi bora za maaskari. Endelea kutusaidia kuhakikisha anasalia kuwa mwema na kutuongezea idadi ya askari wema
 
ahsante sana mkuu ,binti ni mwema sana ntakuwa naenda kila mwez kumtembelea
 
Sema "mama jeni bai bai" imeisha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…