Nafuta mchumba wa kike umri usio zidi 40

beny jr

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
822
1,133
Habari wanajamvi natumaini mpo salama, poleni na hasira za tozo mpya kwenye miamala ya simu
.
.
Rejea kichwa cha barua hapo juu,mimi ni kijana mwenye akili timamu, natafuta mchumba humu jukwaani au hata nje ya jukwaa awe na mapenzi ya kweli aliyeumizwa kwenye mapenzi nitampa kipaumbele zaidi nipo tayari kumfariji na kushare nae maumivu vigezo sina ila uwe jinsia ya kike ninajua kupenda najua kumpa mwanamke sexual excitment
.
.
Karibu pm kwa maelezo zaidi
N.B
Sijabagua ambao hawajaumizwa mnakarubishwa asante
 
Get tired mkuu i cant solve the situation six month now n wed iam unemployment pay looking for woman who is financialy stable n looking for true love iam ready to sell my self to rescue this worst situation
Kwahiyo unataka udange?
Kila la heri mdogo wangu,ukipate unachokitafuta.
 
Get tired mkuu i cant solve the situation six month now n wed iam unemployment pay looking for woman who is financialy stable n looking for true love iam ready to sell my self to rescue this worst situation
Dah i can see you playing with the English i needed for an Interview 😂 unahitaji kulelewa? Uko tayari kujiuza? Aisee
 
Get tired mkuu i cant solve the situation six month now n wed iam unemployment pay looking for woman who is financialy stable n looking for true love iam ready to sell my self to rescue this worst situation

Maafi ya umbwa mbili nyeusi.
 
Get tired mkuu i cant solve the situation six month now n wed iam unemployment pay looking for woman who is financialy stable n looking for true love iam ready to sell my self to rescue this worst situation
you are un employment?

musee wachana na kisungu😅😅
 
MKUU
ile ardhi kwenu kwann usiigeuze kua mwanamke wako dogo, tena msomi kaaze kulima kidogo kidogo utatoboa mwezako niliaza na heka moja tu ya nyanya sasa hivi karibu nchi zima nafanya maswala
NAKUPA MAENEO UTAKAYOPIGA HELA KWAKILIMO MBOGAMBOGA
nenda tunduru, nenda mbozi kwaajili mahindi maeneo ni mengi sana, hao wa mama wa umri huo wengi wa nakula vidonge tofauti tofauti
UTASEMA HUNA HELA wewe nenda kaaze kuishi kwenye vijiji hivyo kama mjinga connection utapata ukifika kule usiaze kingereza chako hicho..

Ukishindwa kabisa nenda arusha ukabebe mizigo yawatalii unaweza ukabahatisha ma mama wenye umri huo au zanzibar huko ila pata kabisa chanjo yakorona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom