Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
kama anaweza ajaribu traditional ways kupunguza makali.
Kila asubuhi ajitapishe kuondoa nyongo kooni hasa kwa mswaki, kabla hajala chochote.
Asikae na njaa sana, inaongeza kichefuchefu.
Kama anatema sana, alambe jivu kidogoooo.
Ajitahidi kula, kama hawezi hata uji wa limao au ukwaju. Tena wa ulezi ni mzuri, ila ikifika miezi mitatu asinywe uji wa ulezi.
Mtori pia hufaa.