Teheeh!teeheeh!karibia nitaanza na wwe ili uamini vgezo nnavyo,then nikishakupata nasepa.
UKWELI UKO HIVI:
Wanawake wengi wa kichaga
1.Wanaabudu pesa kuliko utu(wengi wao ni wanadamu na sio watu)
2.Wengi wana kiburi na sio challenges(fahamu kutofautisha changamoto na kiburi)
3.Si waaminifu na michepuko ndiyo fani yao(japo si wote)
4.Majigambo mengi na kujisifu,ilihali hawana kitu(wanasahau sifa na utukufu ni wa MUNGU)
5.Wengi ni walevi(wanywa pombe) na hawako serious katika imani.
SAYUNI MPENZI,WWE UNATOKEA WAPI?
NA UPO KUNDI GANI?
huyo binti wa kichaga lazima ameshanusa harufu ya mafaniko kwako...vipi unatokea pande za mwadui?
mchaga na msukuma wapi na wapi!
------
Wewe si Mchagga, na huwajui Wachagga....Ulichokiandika ni uzushi, na vya kufikirika...Kwa taarifa yako wanawake wa Kichagga wanaongoza kwa kupendwa hapa Tz.....Wewe kyasaka endelea kuwa na ndoto mgando....////
kuna watu mna dharau kwa wasukuma humu
mpaka mnakera
Teheeh!teeheeh!karibia nitaanza na wwe ili uamini vgezo nnavyo,then nikishakupata nasepa.
UKWELI UKO HIVI:
Wanawake wengi wa kichaga
1.Wanaabudu pesa kuliko utu(wengi wao ni wanadamu na sio watu)
2.Wengi wana kiburi na sio challenges(fahamu kutofautisha changamoto na kiburi)
3.Si waaminifu na michepuko ndiyo fani yao(japo si wote)
4.Majigambo mengi na kujisifu,ilihali hawana kitu(wanasahau sifa na utukufu ni wa MUNGU)
5.Wengi ni walevi(wanywa pombe) na hawako serious katika imani.
SAYUNI MPENZI,WWE UNATOKEA WAPI?
NA UPO KUNDI GANI?
------
Wewe si Mchagga, na huwajui Wachagga....Ulichokiandika ni uzushi, na vya kufikirika...Kwa taarifa yako wanawake wa Kichagga wanaongoza kwa kupendwa hapa Tz.....Wewe kyasaka endelea kuwa na ndoto mgando....////
Swali la nne......nini maana ya ndoa..?
msukuma na mchaga wapi na wapi, kaka mchaga humuwezi fuata tu ushauri wa wazazi wako, mchaga hana hali ya kujali.
mama yake amekataaa ataki wachaga ... alafu hiii issue wasukuma wanayo sana kuna dada mwingine namfahamau wazazi wa mwanaume wa kisukumaa wamekataa haddi kutishia kutoa laana
Nachefukwa sana wazazi kuingilia na kuwa wasemaji wakuu aaagggrrrr
Nahisi huyo binti wanaye taka umuoe wazee anavigezo ingawa wazee wamesahau kua tupo ki-digital zaidi siku hizi....usipuuze maoni wanajamvi pia heshimu sana wakuambiacho wazee...