Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
-----
Achana na hawa watu pori...Wasukuma ni maarufu kwa kukandamiza wanawake...Rejea mauaji ya vikongwe katika mikoa yao...Kwa kuwa hawawezi kuwakandamiza Wanawake wa Kichagga, ndiyo wanaanza kuandika upu.pu....Wachagga mwendo ule ule....I solute Chagga women for their stand.....NB: Mwanaume kishoia usijaribu kuoa Mchagga
ISIKIE SAUTI HII YA MTU ALIYE NYIKANI
"OA KWINGINEKO,USITHUBUTU KUOA MCHAGA"
HAKIKA UTAJUTA MAISHANI
"usioe mchaga"!!!
Kama aliponda mawazo Yang take ntayatalaje sasa! Philosophically we can not match with shivji!
----
Usiku Mjumbe, sasa lala mzee wangu
kifo hakiko mbali na wewe,halafu chonga jeneza lako mapema maana usije tusumbua
ni kweli wamezoea ukandamizaji wa wanawake sasa wamekuta wanawake wa kichaga hawana masihara wanawaza maendeleo na wanaume wengi hawapendi kuambiwa nawapa hongera kwa msimamo hayo mengine sijui wauaji zimebaki zilipendagwa tu
Wanataka uoe kwani ndiyo watakaokaa na mke wako? Wasukuma kwa kwenda uchagani hamjambo pia ingawa hakuna sehemu iliyokatazajamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
Mmmh ila jaman wachaga ss malaya ,hasa madem doh,utafulia bab ,watakuchapia Had ukome,pia mapenz 0 ,akitoka zaa hhhhh analala na shombo ya maziwa ya mtto doh,kwa kifup oa watu wa pwan km unataka mapenz na kufanywa mfalme,
Mwache aoe wa kwao. Na huyo dada atapata wanakomridhia. Kuolewa sehemu ambapo haupendwi ni shida sana, nimeona rafiki yangu mmoja anateseka sana kwasababu mwisho wa siku mzazi ni mtu muhimu sana, mtoto asipomsikiliza ataonekana mkaidi, na hawezi please wote mke na mzazi kwenye hii situation.
Wasije wakamloga bure hao visyaka.
Hodari sana wa ndumba hao watu.
kwa nini ajute ? si upendo acha kumtisha mwenzako sema umekosa
Ke ngiwia, kiki okundia wasukuma?
kwani anae oa ni nani?
Wewe au familia? By the way huwa najiuliza watu wanaopangiwa/kuchaguliwa wenza wakipata matatizo ktk ndoa huwa wanawapeleka kwa waliowachagulia au?
Siwezi kukosa,ikizngatiwa vigezo vyote vya kumnasa mdada wa yeyote,awe wa kichaga ama vingnevyo ninavyo!
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
woiii wasukuma wakenjenja fooo mbe wakeri cha isembo... na yeichiii honga cha kiki kukoruo tiki nuenengo heleri .... lakini inyi ngiwasuo wasoro wako ka isembo
wenye vigezo hawajisemagi kila mtu na moyo wake unaoa mwanamke ambaye hafikirii maendeleo tatizo wanaume weng hawataki challenge that y