kaka,
tafadhari tena tafadhari sana oa usukumani nasema oa usukumani. Mapenzi ni upofu na huyo dada nina hakika kishakulevya vya kutosha!wana lugha laini sana wanapotafuta ndoa na ukiwa ktk ndoa lazima uwechin yake upende usipende!Ni watafutaji wa mali na kimapenzi sio wazuri.NA ANAYEPINGA NA ASEME!!!
--------
Ewe Mkiwoso ndi? Kulolye ichomba ely lyikusua sua yadi....lichowoo wana Wakichaka ko sababu wakundye kitawanon...ndu achalikaa uchake lasima nakushiike mbele, na nalawe kishoian....Wachaka na wana Wakichaka wawarango kwe kyo machomba nyalowoye mita mya inya....////
swali la tatu
mtoa mada, atakaye watunza mke na watoto wako ni familia yako au wewe mwenyewe?
mashami newe washaseta le mwae shafuha lehe mwae
Njoo nikupe mwanangu
---
Hivi wewe Mzee Kingunge unaunga mkono kura ya siri ua ya wazi?