Mchumba mchaga ,msomi jamani naomba ushauri

Mchumba mchaga ,msomi jamani naomba ushauri

DAWEMA

Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
31
Reaction score
11
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?
 
Jitahidi kuwarubuni wazazi wako taratibu. Ukifanikiwa kumdaka mama ushamaliza kila kitu.
 
Michango ya wakuu changanya na akili zako
 
jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu usukumani na awe std vii wana jamvi nifanyeje?

Inategemea na style ya maisha ya ndoa unayopenda, mara nyingi wazazi huhofia tofauti za culture na ku-prefer culture yao walio na uhakika nayo, km ni mke kwa malengo ya muda mrefu yaani bila kujali uzuri wa ujana na marembo, disco, elimu, high profile life na kwa kujali aina ya family watoto na wajukuu n.k. uvumilivu ktk shida n.k heshima thabiti yenye 20% kauoga, hakuna raha sn bali kuna amani ya uhakika mm nakushauri wasikilize wazazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom