Mchumba hataki kusex anataka kulipa mahari

Hiyo ndiyo maana ya uhuru wa mtu binafsi, wengine wanaamua kuwa na vi toy boy, wengine wanakuwa na mume wa mtu kwa agenda ya sex tu, wengine wanaamua kununua plastic ni siri ya mtu.
hii dunia imeisha hivi kuna umri nyege hazivumiliki ama ?
 
Salam aleikum wadau,

Mimi kama Mwenyekiti wa wanawake tulioamua kustaafu kusex bila ndoa nimepata malalamiko toka kwa mwanachama wangu mnajua bana sisi wanawake mtuelewe tu sometimes tupo off saa zingine on kapata mchumba sharti la kwanza mwenyewe mdada akamwambia jamaa no sex till marriage jamaa akamwambia poa hata mimi nataka mwanamke kama wewe.

Imefika katikati mdada anataka kujaribu amemtega jamaa wewe hadi amelala kwake ila jamaa hapigi gemu kabisa na sasa anaprocess ndoa. Sasa huyu member mwenzetu anadai ana hofu anataka gemu kwanza mimi hata simuelewi jamani anaomba ushauri maana nimempa ID yangu hapa anasoma.

Matusi muache jamani, shaurini kiungwana mambo ya mahusiano ni magumu jamani.
Mh, Miss Natafuta haiwezekani hiyo. Yaani ulale na demu unaempenda kiasi cha kufikia kumfanya future wife wala isisimama????

Hapana hiyo haipo. Kwa sisi tulio rijali haiwezekani. Yaan apo kama jamaa hakula mzigo basi kuna tatizo kubwa sana. Yaan apo akimbie. Enzi hizi wala mm nisingekubali kuanza ku process ndoa bila kula mzigo. Huyo jamaa hayuko sawa sawa emotional au physicaly au hata biologically. Lazima ana matatizo ambayo rafiki yako atakuja kuyajutia akiamua kuingia kichwa kichwa.

Ushauri. Ajaribu kumtega zaidi. Alale na chupi na baada ya masaa machache hata chupi avue then aendelee ku apply utundu wake wote. Ikifika asubuhi jamaa hajala tunda, then amuambie wazi kuwa hataki ndoa tena kwa sbb kutakuwa na shida kubwa kwa huyo jamaa ambayo hataweza kuishi nayo.

Duh sisi wanaume wa ukweli hatuko hivo.
 
Nimempa credit za kutosha jamaa.. Ameamua kusimamia vigezo na masharti, mwambie dada asubiri tu ndoa maana ndio makubaliano yao hakuna namna.. akiuziwa mbuzi kwenye gunia itakua funzo kwenye chama chenu na pengine huenda ukarudi hapa ukiwa mwenyekiti wa wanawake ambao hawapo tayari kuingia kwenye ndoa bila kusex japo mara moja.. ikiwa successful basi pia itakua faida kwako kama mwenyekiti maana utawahimiza wengine kukaza..
Heshima kwake huyo mwanaume, anastahili cheo cha uenyekiti wa wanaume walioamua kustaafu kusex bila ndoa..
ahahaaa kweli mkuu sijui hili gemu litafanikiwaje member wenyewe hawajiamini
 
Well kama umekwenda kukachumbia katoto ka miaka 18 -20 kwakweli hutakatendea haki kama utaanza kumwambia 'shake before use'. Lakini ukutane na mdada anakwambia mimi bwana nimeamua baada kuwa disappointed aahhh!
Mambo mengine huwa nayaacha yapite tu maana kwangu ni magumu..........Hata kama namchumbia mwanamke wa aina gani, siwezi kufunga naye ndo bila kumlamba kwanza.
 
Mh, Miss Natafuta haiwezekani hiyo. Yaani ulale na demu unaempenda kiasi cha kufikia kumfanya future wife wala isisimama????

Hapana hiyo haipo. Kwa sisi tulio rijali haiwezekani. Yaan apo kama jamaa hakula mzigo basi kuna tatizo kubwa sana. Yaan apo akimbie. Enzi hizi wala mm nisingekubali kuanza ku process ndoa bila kula mzigo. Huyo jamaa hayuko sawa sawa emotional au physicaly au hata biologically. Lazima ana matatizo ambayo rafiki yako atakuja kuyajutia akiamua kuingia kichwa kichwa.

Ushauri. Ajaribu kumtega zaidi. Alale na chupi na baada ya masaa machache hata chupi avue then aendelee ku apply utundu wake wote. Ikifika asubuhi jamaa hajala tunda, then amuambie wazi kuwa hataki ndoa tena kwa sbb kutakuwa na shida kubwa kwa huyo jamaa ambayo hataweza kuishi nayo.

Duh sisi wanaume wa ukweli hatuko hivo.
unadhani alilala na nguo ?.kwanza hatuvaagi chupi ukumbuke
 
ahahaaa kweli mkuu sijui hili gemu litafanikiwaje member wenyewe hawajiamini
kama ulishaonja kuacha kazi.. ila kama bado pengine unaweza kusimamia msimamo wako.. ukionja huwezi acha kirahisi labda kama umetendwa vibaya mno.. ile kitu starehe bwana asikwambie mtu, hasa ukimpata anaejua..
 
hii dunia imeisha hivi kuna umri nyege hazivumiliki ama ?
Mkuu maswala haya ni ya siri sana ndiyo maana viungo vyake vimewekwa hukoooo, wengine ni watiifu lakini likija swala hilo wanayofanya huwezi kuamini. Fanya vile unavyoona vinakupa Amani na moyo wako.
 
Aisee kupata mwanaume wa hivi mida hii ni kama kuokota embe chini ya mchungwa.
Labda kaka wa watu ana nia nzuri ya kuji save until marriage maana suprise ina raha yake atii..
 
Mh, Miss Natafuta haiwezekani hiyo. Yaani ulale na demu unaempenda kiasi cha kufikia kumfanya future wife wala isisimama????

Hapana hiyo haipo. Kwa sisi tulio rijali haiwezekani. Yaan apo kama jamaa hakula mzigo basi kuna tatizo kubwa sana. Yaan apo akimbie. Enzi hizi wala mm nisingekubali kuanza ku process ndoa bila kula mzigo. Huyo jamaa hayuko sawa sawa emotional au physicaly au hata biologically. Lazima ana matatizo ambayo rafiki yako atakuja kuyajutia akiamua kuingia kichwa kichwa.

Ushauri. Ajaribu kumtega zaidi. Alale na chupi na baada ya masaa machache hata chupi avue then aendelee ku apply utundu wake wote. Ikifika asubuhi jamaa hajala tunda, then amuambie wazi kuwa hataki ndoa tena kwa sbb kutakuwa na shida kubwa kwa huyo jamaa ambayo hataweza kuishi nayo.

Duh sisi wanaume wa ukweli hatuko hivo.
Mimi najua inawezekana.. na nina uhakika kabisa kuwa inawezekana, kila kitu kinaanzia akilini mwako
 
Miss mwambie shogako kama jamaa kakomalia ahadi asije kuvunja uchumba bidada akimlazimisha.
Ama kama vipi bidada apime kipi cha muhimu kwa sasa.
Ndoa, ama kuona vifaa vya jamaa kwanza.
 
Humwelewi nn,amepewa mashart amekubali...ngoja afunge ndoa kabisa coz nae anajua huyo Dada ni Virgin sasa kazi siku ya ndoa anakuta kitu kinapita bila chenga...atavunja ndoa ooh,haya mambo ya miaka hiyoooo 1940s ,au unampa muda mzuri wa kujiselfisha nje ya huyo Dada...
Ngoja nimwambie huyo Dada...sisi wanaume hatuna uvumilivu sana labda kama anakupenda kwa dhati...lakini ukichelwa itakula kwako..
Hitimisho..Kama ametoa na mahali MPE chake..asije endelea na game za nje
Kubali ukatae ila nina uhakika umeelewa ndivyo sivyo
 
Hii story ni ya kutunga,,, ila pia wapo watu hawa du mpaka ndoa,,,, wala sio mmoja,,,
 
unadhani alilala na nguo ?.kwanza hatuvaagi chupi ukumbuke
Inamaana huyo demu alishindwa hata kumshika mkono jamaa na kuupeleka uko chini. Kwa mwanaume rijali, akishaigusa tu, kitu kina lipuka uku.

Yaani huyo jamaa ana upungufu mkubwa. Heb muulize huyo dada kama haikusimama kabisa au?? Hakujaribu kuigusa kwa mkono kuona kama imesimama, inawezekana hata kusimama haikusimama, kama ingesimama jamaa angelalamika kuwa demu anampa wakati mgumu.

Ni ngumu sana kwa mwanaume wa type yangu, ngoma isimame halafu uko na demu kwa room then et uvumilie mpaka asubuhi. Impossible Mkuu. Watu wanabaka et,

Huyo ana matatizo makubwaaaaa
 
Mambo ya mahusiano ni magumu sana... haswa kwa nyie wanawake... mara nyingi mnaanzisha mambo ambayo mnajua kabisa ni magumu kuyatekeleza huku rohoni mnatamani yaishe... Huyo mwanamke alisema hivyo kwa nia njema akijua kabisa huyo jamaa atashindwa hilo zoezi na mwishowe wakaangukia kwenye sex na mwanamke kuonekana kama yeye alivumilia lakini jamaa ndiyo kashindwa... bahati nzuri jamaa amekaza... Safi sana...
 
Back
Top Bottom