WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Unampenda na umeshaamua kumsamehe sasa sijui msaada unaoutaka ni upi hapa. Nahisi bado unaumia sana moyoni mwako kwa yaliyojiri kisogoni mwako na unatamani ungekuwa na courage ya kumuacha, zigo la maumivu limekuelemea ndio ukaamua kuja kulitua hapa barazani.
Nikuambie ndugu yangu, dawa ya hili suala ni ndogo sana- Na wewe nenda ukageme, tena ikiwezeka wewe kageme mara mbili ya idadi yake, you will be so suprised the difference it makes, you will regain urijali wako back and it will make you feel good about yourself na utajikuta umemsamehe jumla na kuzidi kumpenda mwandani wako zaidi, ila tu usisahau daluga mwanangu kwenye revenge mission yako, goodluck!
KKN
Senior Sexpert.
Mh. KKN, Ushauri huu ni ushauri ndio lakini kwa mwenzetu aliyeamua kusamehe utampotosha.Tukiwa na kawaida ya kulipiza kisasi kila tunapokosewa haitasaidia.Tujifunze kusamehe japo ni kugumu.Mwisho wa siku the reward is huge.
Ndugu uliyeumizwa... uelewe tu kwamba maisha si safari fupi na rahisi. Ni ndefu na ngumu.Si ajabu kwa kumsamehe utakuwa umemrekebisha once and for all.Jiulize wewe..mara ngapi unakosa? ingekuwa vipi kama usingesamehewa?