Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

Jamaa bado ana nafasi ya kusamehe!

Hivi ni nani ambaye hupata demu bikira na kumuoa hapa mjini siku hizi. kwahiyo kila demu anakuwa amepigwa kimtindo katika life cycle yake kabla hajaolewa.Na bado watu huoa hao waliopigwa... Nani ambaye hufurahia kupata story ya maisha ya mapenzi ya mpenzi wake kabla hawajawa pamoja?

Je wana uhakika gani kuwa jioni wakati fulani hawatarejea kwenye mazizi yao ya zamani? Kuna tofauti gani hapo na kupiga au kupigiwa ukiwa katika pendo?

Wajua kupenda ni upofu... Jamaa amejua kuwa kamegewa, akatafakari akaona hawezi kuacha... Pia ameomba ushauri, akitegemea tumpe ule unaopelekea yeye kuendelea na mpenzi huyo! Hii ina maana kuwa jamaa amependa ile mbaya, na kwakuwa demu ameomba msamaha... basi na amsamehee... kwani ni nani aliye msafi?
 
Umechanganya hoja

Nilivyoelewa mimi, huyu jamaa kamegewa; tofauti na kuwa na mtu ambaye ana past history yake (past is not betrayal)
 
sikiliza wimbo wa mwana FA,subiri subiri kwanza utapata mwingine,tatizo la vijana unajikommit wakati hata hujaoa,kuwa nao hata kumi alafu kila mtu unampima kivyake.kisha utapata mke halisi

Ukimegewa Demu Wako na wewe tafuta Mnyonge Umegee..haipunguzi machungu ila inarudisha Hadhi ya Kiume........''
 
Yuko wapi huyo atakaeshushiwa ambaye hajaguswa na wengine ... ni kubahatisha sikuhizi otherwise nyote mnachukua used these days ... tena worse for wanaume maana hawana alama yoyote .. so they are used ...used and almost misused!!!!!

Give her second chance kama hana maradhi ... kitendo cha kwenda kumpima tu kitamtia adabu ... ame confess .... wewe unataka asisamehewe

kwi kwi kwi!
Mbona wengi tu ambao wapo NEW tena mjini hapa hapa utawaona.Lazima uwe mjanja kuwapata unafanya booking mapema lasivyo kila ukigusa utakuwa unakuta kitu used.Inakuwa soo tena.
 
wazungu wanasema "when you mis one you can get another" so you have to open another chapter...achana na huyo pasua kichwa.
ukimng'ang'ania atakuja kukuumiza roho zaidi wakati ukishafunga nae ndoa.
 
Chichi,pole mwayego.Mimi naona kusamehe is good thing buthao jamaa waliokumegea wamemfundisha nini? inawezekana wamemfundisha usivyoviweza wewe mkalisha chini mpenzio mwambie akusimulie waziwazi alivyokuwa akimegwa ili usijekosa mridhisha,sawa baba.
 
Mheshimiwa MTM, the essence of my posting ni ule msemo wa wahenga usemao "ukiangalia alacho bata, huwezi kumla'. Hivyo basi kama mshakaji bado anampenda demu na amekonfess... basi amsamehe kwani hakuna aliye msafi!!!
 
kwi kwi kwi!
Mbona wengi tu ambao wapo NEW tena mjini hapa hapa utawaona.Lazima uwe mjanja kuwapata unafanya booking mapema lasivyo kila ukigusa utakuwa unakuta kitu used.Inakuwa soo tena.

Fidel80 , ngoja nikupe siri mdogo wangu, sikuhizi kuna dawa nasikia na sabuni pia . . mambo yanakuwa waaaaaa
 
Mheshimiwa MTM, the essence of my posting ni ule msemo wa wahenga usemao "ukiangalia alacho bata, huwezi kumla'. Hivyo basi kama mshakaji bado anampenda demu na amekonfess... basi amsamehe kwani hakuna aliye msafi!!!

Naomba nihoji jinsia yako kabla sijaendelea kuchangia katika hili...
 
Fidel80 , ngoja nikupe siri mdogo wangu, sikuhizi kuna dawa nasikia na sabuni pia . . mambo yanakuwa waaaaaa

Hizo dawa zipo nyingi lakini mpya zinafahamika na used zinafahamika...unataka kuniambia siku ukauziwa simu ya zamani imevalishwa housing mpya hautajua?

Kama ushawahi tumia mpya na chakavu ni rahisi kutambua hapo... Naima najua hili wafaham sema kuna wachache na wengi wanaoibiwa kwa hili... Ila mashine ambazo hazijatumika mjini hapa hapa zipo na ni nyingi tu...
 
Kaka huyo the so called mchumba hakufai kabisa. Atakuwa anakuibia haki yako ya penzi kila wakati. Ila tusiwe general sana kuwa siku hizi wachumba ndivyo walivyo. Nakataa, kuna mabinti wengine waaminifu tu. Nakushauri nenda mbele za Mungu mpe hitaji lako la kuwa akupe ubavu wa ubavu wako. Ila nikuulize wewe tangu umekuwa na huyo mchumba hujamega nje ya mahusiano yenu? hasa ukizingatia yuko mbali nawe kwa sasa? Kama umeshafanya hivyo ujue wote mna kosa. Kama hujafanya hivyo basi anza mbele kabisa tafuta mwingine.
 
Hizo dawa zipo nyingi lakini mpya zinafahamika na used zinafahamika...unataka kuniambia siku ukauziwa simu ya zamani imevalishwa housing mpya hautajua?

Kama ushawahi tumia mpya na chakavu ni rahisi kutambua hapo... Naima najua hili wafaham sema kuna wachache na wengi wanaoibiwa kwa hili... Ila mashine ambazo hazijatumika mjini hapa hapa zipo na ni nyingi tu...

Mzozoooooooooooooooooo!!! Unataka mashine mpya??? Then iweje?? we ukipata utakayoridhika nayo songa mbele siku hizi cha peke yako hakuna kaka wala hizo mpya nazo utasaidiwa tu wadau hawana uvumilivu sana....
 
Ndugu yangu kumbuka huyo ni mchumba si mke na hata kama umempenda mno na kuhisi huwezi kuishi bila yeye, kitendo cha kuingia kwenye ndoa huku tayari humuamini bado ita ku-cost sana kwenye ndoa yako na hutamuamini kamwe ingawa unampenda.

Ni busara kuachana na mchumba lakini si mke, kama ameweza kumegwa na hao jamaa sasa hivi wakati wa mapenzi ya uchumba je, mkiingia kwenye ndoa na kuishi miaka 5 ambapo penzi hushuka na kupanda?

Mimi nakushauri chukua kikombe cha chai au kahawa then kaa sehemu tumia akili yako yote, uwezo wako wote kupiga hesabu je bila yeye unaweza kuishi na kupata mwingine? kwani mchumba si mke. Historia hujirudia na wakati mwingine unaweza kujikuta umechelewa. Ila mwamuzi ni wewe.

Yaani Ndugu Misitu nakubaliana na wewe 100%, manake ndoa si mchezo. Haina majaribio. Ukishaapa pale madhabauni ndio nitolee hiyo..!! Na kingine, wataalamu wa maswala ya mahusiano wanakwambia, hakuna kipindi kizuri cha kuonja mapenzi mazito toka kwa mwanamke hasa wakati wa uchumba. Yaani tena unapokuwa umeshaanza procedures za ndoa, utakuta anakupenda kwa asilimia 100% huku 30% zikiwa ni kutokana na hamu ya kuolewa. Baada ya ndoa kama Bwana Misitu alivyosema, hiyo 30% inapotea. Hapo sasa yanaanza mapenzi ya "kwa sababu tuko pamoja".

Sasa kama mtu alishindwa kulitunza penzi wakati hiyo 30% ni ya moto, je wakati ikiwa haipo kabisa, unategemea nini..?? Walioweka procedure ya kuwa wachumba hawakukosea, as ni kipindi maalumu cha "kuchunguzana" and not kuleteana tu maua, na kuambiana "I Love You". Katika kuchunguzana huko ndiko unapofanya maamuzi mazito ya kufunga ndoa. Ndio maana hata kabla hujapanda madhabauni utaulizwa kama bado una maamuzi ya kuoa au ushabadili mawazo. Yote hii ni kuonyesha uzito wa "ndoa".

So, my friend, check yourself kama moyo wako unakutuma uendeleze libeneke, hatukuzuii, ila tunakupa ukweli wa mambo ili ukifanya maamuzi uwe unayafahamu yoote haya. Tungetamani kukutia moyo uendelee naye kama ambavyo unaonyesha hamu ya kutiwa moyo, ila tusingependa kukudanganya huku pembeni tunakusema. Ni bora tukupe hali halisi then wewe mwenyewe uchuje..!!

Pole kwa msukosuko..!! Ndio challenge za dunia hizo..!!
 
Usipoteze muda wako.Achana naye huyo. Miezi 5 wasaidizi wa 2, mwaka je? Ni bora kakiri ulaghai na ufisadi wake. Nenda ukapime mkuu na kaa mbali na huyo binti. Hamna cha ndoa wala nini hapo. Mtu ambaye hawezi kujizuia kusema "hapana" anapokuwa mwenyewe kidogo tu hakufai.
Kutokana na mapenzi yako kwake lazima utaumia katika hiki kipindi kifupi lakini ni bora ukaumia sasa kuliko baadae ambapo moyo wako unaweza kuwa umeshatekwa kwa kiasi kikubwa.

Mkasa huu naufananisha na mmoja uliomkumba swahiba yangu mmoja, yeye alimfumania mpenzi wake katika kitanda chao wanacholalia kwa pamoja, akamsamehe. Haikupita miezi 4 akamfumania tena mwanamke yule yule katika kitanda kile kile ILA safari hii akifanywa mambo kinyume na maumbile. Pachungu hapo!

Amka kaka
 
Ukimegewa Demu Wako na wewe tafuta Mnyonge Umegee..haipunguzi machungu ila inarudisha Hadhi ya Kiume........''

Na kuongeza kasi ya ukimwi, not to mention kaswende gono na machafuchafu mengine kibao!
 
mheshimiwa Mtm, The Essence Of My Posting Ni Ule Msemo Wa Wahenga Usemao "ukiangalia Alacho Bata, Huwezi Kumla'. Hivyo Basi Kama Mshakaji Bado Anampenda Demu Na Amekonfess... Basi Amsamehe Kwani Hakuna Aliye Msafi!!!

Nimekusoma Mkuu... Tuko Pamoja Mazee
 
Wenzangu naona mnasahau kitu kimoja ambacho Chichi amekieleza, nacho nikwamba.. ule msamaha kama msamaha tu tayari keshautoa. Tatizo ni kwamba pamoja na kuwa msamaha wa kidunia umeshatolewa, ndani ya roho yake kuna kitu ambacho kimechefuliwa. Kitu hicho ni kiini cha uwepo wake wote, something that makes him - him, something core to his consciousness. Ndiyo maana kila mara anakuwa na hilo dukuduku, haliondoki na vigumu kuondolewa na mtu wala maombi. Ni dukuduku na jambo la rohoni ambalo likishakuwa violated - kwa kifupi, halifutiki!

Anaweza akaenda msikitini au kanisani kuombewa, anaweza akaenda kulipiza kisasi, lakini ile violation kwa vile imeshatendeka, no matter what, the person will never forget.

Kama atajitahidi kuvumilia na kuonesha amemsamehe, hata baada ya miaka 40, Chichi bado atakuwa na scar ya hiyo violation. Ni ya milele and has got nothing to do with mwenzawake. Huyo mwenzake hata kama atakuwa amebadilika na kujirudi tabia yake.... bado, kiini cha yote ni hiyo violation iliyotokea ndani ya conscious ya Chichi. And the sad thing is, when that violation happens, IT IS IRREVERSIBLE!!

Pole Chichi.

SteveD.

Steve,

Mi nafikiri ilikuwa ni kosa kutoa msamaha na kubaki na "kisebusebu na kiroho papu"

Forgive and forget, if not don't forgive at all.
 
Back
Top Bottom