Duuh hapa ni mchezO Wa kUmAlizaNA leoLEO 2!
Anyways sorry mzeiya ila kutoka nduki ilikuwa busara!maana huyo manzi ni "MTAMBO WA GESI"
Never trust 'em girlz guys!
Aisee! Nakushauri usije ukaja kujutia maisha yako yote. Uamuzi ulioufanya wa kumsamehe inabidi utafakari tena!
Umefanya vizuri kumsamehe ili usilipize kisasi, lakini suala la kuendelea naye sidhani kuwa ni suala la busara. Mkishaoana atakuzalia mtoto na baba wa nje itabaki kazi yako kulea. Huyo ni malaya kabisa. Chukua tahadhari mapema. Moyo ndio ulivyo huwa kama ulipenda mahali unashindwa kuacha lakini inakubidi huyo sio wako.
Jifikiria wewe katika kipindi hicho uliwamega wangapi? Kama ulimmega hata mmoja, basi lazima usamehe lakini kama hukumega yeyote, fanya taratibu za kumuacha, hafai huyo! Nimeeleza hivyo, kwa kuwa nahisi mara nyingi mtoto anapobebwa huelekea kisogo cha mama yake. Hii ina maana yeye aliona tabia yako siyo nzuri na hivyo akaamua kukuchakachua kama wewe ulivyokuwa unamchakachua!
Hata hivyo, bado nakushangaa! Ulipoanza naye urafiki ulimkuta na bikra? Kama hukuikuta ulimuuliza nani aliyeitoa? Utajuaje aliyeitoa ndiyo mmoja kati ya aliyekueleza! kuwa mpole KAka!
chichi ,
Kulikuwa na range gani kutokea ajifungue mtoto wako hadi kumimbwa na kidume kingine??
By the way, una uhakika gani kama huyo mtoto ni wa kwako, Stuka Boss Ohooooo
Aisee pole sana, l wish ungesikiliza ushauri wa mwanzoni uliopewa. Mwanamke kucheat with 2 men in 5 months is not normal! Umejifunza the hard way na madhara yake ni makubwa, lkn kumbuka wanawake wote hawako hivyo; na nina uhakika kulikuwa na wengi tu waliokupenda kwa dhati lkn uliwaona hawafai.
Usikate tamaa, uguza majeraha na uuachie moyo wako utapata mwenye thamani ya penzi lako.
Wanaume wenzako hatusamei hiyo dhambi,akishamegwa hata ukiendelea nae unamfanya kicheche wa kuzugia huku unatafuta mwingine,baab hiyo dhambi huwa haisamehewi. ukiisamehe unajidanganya tu,atarudia tena,wenzio tuliombwa msamaha mwaka na miez tisa lakini hatukusamehe,hiyo ndio dhambi ya kutolea kadi nyekundu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.