Mchumba ananipa wakati mgumu aisee msaada wakuu

unaishiwa sababu hausikilizi nyimbo za wakongwe kama celine dion....dolly parton.....phil collins......lionel richie......mariah....julio iglesious.......na wengine wengi......

BAK saidia huyu kijana baadhi ya wakongwe wa muziki apate kumriwadha malkia wake.......

Thanks sister ningefurah kweli as ungeni listia nyimbo maana huko sikuwa na wazo hlo nashukuru kwa kunifumbua macho kwa hilo
 
Last edited by a moderator:
Isiwe ndiyo unatafuta maneno ya kuanzia kutongoza.
 
Cku ukikosa kabisa uwe unamtumia kabuku tano kavocha am sure hatanuna ,endelea na huu utaratibu kwa wik moja then urudishe utaratibu wa zamani uone anapendelea upi zaidi.

hahaaha nalo wazo aisee
 
nina mchumba nipo nae zaid ya mwaka na nusu sasa amenianzishia mtindo wa kunidai mesej za mapenz zenye maneno mazuri zaidi ya mawili kabla ya kulala kama dozi vile deile
nimemtumia kama miez minne mfululizo siku nisipomtumia basi ni kununa mwanzo mwisho yani kawa addicted flan hv
na kwajinsi anavyo respond maneno yangu huwa anafarijika sana ananiambia hupatwa na furaha ya ajabu na ndo anapata usingizi
Tatizo mimi stock ya maneno imeisha sina maneno na kama ninayo ni marudio sasa wana jf kama vp dondosha ujumbe wwote wa kumfarij msichana m nikopi na ku paste chini nikiweka saini yako
hapa utakua msaada wa kuimarisha uchumba hata kwa wengine JF FOR LIFE thanks
Kazi IPO...hivi shule bado hazijafunguliwa
 
mpe namba yake ali kiba atakuwa anampa mistar yake.tena sku nyngne ataenda kumwmbia chumban mpaka alale
 
nina mchumba nipo nae zaid ya mwaka na nusu sasa amenianzishia mtindo wa kunidai mesej za mapenz zenye maneno mazuri zaidi ya mawili kabla ya kulala kama dozi vile deile
nimemtumia kama miez minne mfululizo siku nisipomtumia basi ni kununa mwanzo mwisho yani kawa addicted flan hv
na kwajinsi anavyo respond maneno yangu huwa anafarijika sana ananiambia hupatwa na furaha ya ajabu na ndo anapata usingizi
Tatizo mimi stock ya maneno imeisha sina maneno na kama ninayo ni marudio sasa wana jf kama vp dondosha ujumbe wwote wa kumfarij msichana m nikopi na ku paste chini nikiweka saini yako
hapa utakua msaada wa kuimarisha uchumba hata kwa wengine JF FOR LIFE thanks

Mapenzi ya under 20 ndo yalivyo, mnakuwa na mambo ya kitoto kitotooo!
 
Jaribu kuwa mbunifu.Kwenye mitandao ya kijamii kuna maneno lukuki ya kimahaba.
 
Jaribu kuwa munifu.Kwenye mitandao ya kijamii kuna maneno lukuki ya kimahaba
 
Sister maneno ya mapenzi yanapendeza zaidi kama yanatoka moyoni na sio kuchukua mzoo kutoka kokote kule, nyimbo huongeza tu utamu wa yale maneno matamu yatokayo moyoni.

unaishiwa sababu hausikilizi nyimbo za wakongwe kama celine dion....dolly parton.....phil collins......lionel richie......mariah....julio iglesious.......na wengine wengi......

BAK saidia huyu kijana baadhi ya wakongwe wa muziki apate kumriwadha malkia wake.......
 
Last edited by a moderator:
unaishiwa sababu hausikilizi nyimbo za wakongwe kama celine dion....dolly parton.....phil collins......lionel richie......mariah....julio iglesious.......na wengine wengi......
BAK saidia huyu kijana baadhi ya wakongwe wa muziki apate kumriwadha malkia wake.......

Mpwa umeongea kitu kikubwa mno! Nowadays wanasikiliza zaidi bongo fleva yenye neno moja tu. Nakupenda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom