Mchumba amebadilika na kuwa mlokole, sasa ni tabu tupu, bora kuoa mpagani

Nimekaa nae karibu mwaka mmoja sasa, tulikua fresh tu, mambo yote ya kidunia hadi pombe sometimes wote tulikua tunakunywa tukiwa pamoja hasa hizi softies.

Ana mapenzi ya kweli na ni mzuri kweli kweli, ni mwanamke flani hivi mgumu kuingia kwenye mahusiano na mtu hata mie nili hustle sanaa kumpata.

Hivi karibuni sijui alikutana na nabii gani huko mitaani akambadilisha, kwa hakika hawa mitume na manabii wa mitaani wana nguvu na ushawishi kwa watu wenye roho nyepesi na za uoga, ni nabii ndio kambadilisha mind set huyu mwanamke, kawa mjinga wa mwisho duniani, yaani ujinga unapoishia ndio yeye anapoanzia.

Mwanzo niliichukulia poa, nikasema ni kitu kizuri kuwa na mke mchaMungu na hata mie nitakua free sanaa na michongo itazidi kumiminika sababu kubwa la maadui liko kwenye maombi kuninyooshea njia.

Vituko vikaanza akaanza kugoma kushiriki sex kama masikhara, kwanza haikua serious niliona kama akigoma usiku basi asubuhi anatoa, akigoma leo kesho ananipa fresh mno, baadae akaanza kugoma jumla na kufikia hapo nikasema sasa rasmi hapa hakuna mke tena.

Anasali sanaa, status anaweka kwaya masaa 24 na amebadili mavazi na mtazamo, nikimtext meseji zetu zile za kumuamsha hisia ni anachukia balaa, siku moja nusu aniue kwa hasira tulikua tumekaa nae na nikamgusia namna k. yake ilivyo amaizing, vitu ambavyo hapo mwanzo ilikuwa kawaida yetu kuvizungumza as unajua wapenzi wanavyokuaga.

Sasa mgomo moto ukaendelea, ule mgomo sio baridi, sasa nikaanza kuona drama zimekua nyingi na ndani naonekana kama mimi ni li freemason lenye mapepo, nahisi nabii alimwambia hivyo.

Nikajisemea huyu mwanamme sasa hivi ni gaidi la ki kristo, isis kabisa, so hanijui nadhani mie ndio papa Benedikto namba 16, basi nikampigia simu mchepuko wangu tena toto zurii zurii haswa halafu bado dogo tu, basi akantuliza bibie mie niseme nini nisipewe ee, narudi zangu home huko nilikotoka nimejilia vyangu mpaka naloweka, nikizusha safari za mikoani kikazi siku moja aaah mama katekista wala hana noma kwanza ndio ana furahi hakuna usumbufu.

Sasa imepita muda kidogo since nijisumbue nae kuomba game na simuombi wala kumwambia chochote, yeye ndio kwanza hata hastuki zaidi ana nipongeza kwa kuweza kumvumilia na kulishinda pepo la ngono,sad, juzi wakati ananipa pongezi hizo kidogo nimtukane tusi zito ili abebe na vitu vyake kabisa aamshe hapo home.

Kila nikimuangalia naiona dhamira yake ni nzuri sanaa na anacho kifanya ni kizuri kwa uzima wake wa milele, ila anakosea kwenye approaches, na mie sitaki tena kuongea nimechoka, nimempeleka places nikaongea nae kwa kirefu na kumwambia mipango yangu kwake na ofcoz sikuona mwingine wa kuoa na nikamwambia kila jambo liwe na kiasi, anakwambia ameelewa, tukirudi nyumbani yale yale tu, this is too much na sitaki tena ushauri wa mtu.

Nimetoa kama ushuhuda tu na sijui wenzangu mliweza kuyapita vipi maswaibu kama haya na too bad kadri siku zinavyokwenda ndio bora ya jana na ndio kwanza anaenda kukesha na kwenye masemina ndio kazi yake, na hana kazi huyu. Mchepuko kayajua haya madhaifu sasa ndio kama anafanyia sifa, siombi napewa, nnalishwa na mtoto ni screamer, naughty and wild.

Natamani mlokole wangu aniambie "baby its over" nitafanya bonge la party.

Nyie wadau labda mnipe ushauri namtoa vipi huyu katekista wa kike ndani kwangu aje huyu mama yenu mdogo wa pembeni tulisongeshe.
Pole sana na mapito hayo yote. Ukweli ndoa sehemu kubwa ni tendo la ndoa. Mwanamke anaposumbua eneo hilo huwa linaleta usumbufu kweli.

Ningeomba kama utatafakari ni kumfikiria jinsi alivobadilishwa kiakili. Kwanza kama unaweza nenda kwa yule anakosali. Akueleza maana ya ndoa inavyofundishwa kwao.

Mara nyingi kwa kutojua wanapata mafundisho potofu kuwa ukiwa mlokole hutakiwa kufurahiwa au kushiriki tendo la ndoa. Ukweli labda kama kuna tatizo lingine ambalo amejifunika kwenye ulokole wake. Biblia iko wazi sana kuhusu jambo hili.

Mwili ni wa mwanamke ni kwa mwanaume na kinyume chake pia. Tafuta watu wanaojua Biblia na washauri mambo ya ndoa wakusaidia. Pia ndoa ni zaidi ya sex. Ingekuwa utaalamu wa sex pekee ndio ndoa, basi ndoa nyingi zingevunjika.
 
Kuna magonjwa mengi sana ya akili duniani. Hilo lililompata ni mojawapo.

Sasa amua kukaa na mgonjwa wa akili ama uepukane naye mapeema.
Unforgetable

Manners Maketh Man
No, binti hana shida kabisa. Hamjamuelewa tu. Na itawasumbua sana kumuelewa. ila nimeshamwambia mwamba akimuacha imekula kwake big time. Athubutu tu kusema suuuuuu.
Wadau tugee lokesheni na namba kama ukimuacha halafu uje ujionee maajabu baada ya muda mchache
 
M nilkuwa 23 nimeshika dini kweli na nilikuwa sijaanza kungonoka sasa nwanaume nkampata nkakaa naye almost one year ndo nkamkubali kama mpenzi sasa ishu nafanyeje sex wakati kichwan nimejaa neno la Mungu,nilimkazia badae nkaona huu usenge at 23 mwanaume atakuwa anaenda kulala na wengine m nasubir ndoa nkaona bora tuenjoy tu
 
M nilkuwa 23 nimeshika dini kweli na nilikuwa sijaanza kungonoka sasa nwanaume nkampata nkakaa naye almost one year ndo nkamkubali kama mpenzi sasa ishu nafanyeje sex wakati kichwan nimejaa neno la Mungu,nilimkazia badae nkaona huu usenge at 23 mwanaume atakuwa anaenda kulala na wengine m nasubir ndoa nkaona bora tuenjoy tu
Ukaona bora umpoteze Yesu umkeep mwanaume
 
Muda mwingine namuonea huruma, hana kazi ila ndio yuko deep na dini haswa, nasema ata nikimwambia its over ni atarudi kwao ambako nilimkuta ata hela ya bando tu alikua hana,,,jamani watu wana jisahau ndo namuwazia hapa sasa hela za mahitaji yake atapata vp na wap? Na mie sina mkono wa birika chochote akitakacho anakipata bila hiyana yoyote tu.
Unaweza kuendelea kumhudumia hata baada ya kuondoka kwako mpaka atakaposimama mwenyewe. Mungu Atamsaidia na wewe utabarikiwa sana !
 
Yeah brother, i second you Hili swala sikuwai kujua kama linaweza kutokea kwangu, sababu sio jambo geni na nimeona mengi ya ivyo, ila ni mtu yoyote tu, asubuhi moja unaweza kuamka na ukamkuta mkeo amekua sio yule wa jana.
Mimi naomba muujiza utokee na wewe uangukie kwenye ulokole ili muende sawa. Hebu wote na tuseme Amen !!!
 
M nilkuwa 23 nimeshika dini kweli na nilikuwa sijaanza kungonoka sasa nwanaume nkampata nkakaa naye almost one year ndo nkamkubali kama mpenzi sasa ishu nafanyeje sex wakati kichwan nimejaa neno la Mungu,nilimkazia badae nkaona huu usenge at 23 mwanaume atakuwa anaenda kulala na wengine m nasubir ndoa nkaona bora tuenjoy tu

Mkuu umenichekesha sana. Kwamba baadaye ukaona uachie tu mzigo . Mlifika wapi baada ya hapo? Hiyo dhambi ya uzinzi kweli iliwaacha salama?
 
Huyo hata ukimuoa atamsikiliza zaidi mchungaji, Cha kufanya mwambie Kama ameokoka serious basi arudi kwao Kwanza Hadi siju utakapofunga nae ndoa ndio muanze kuishi pamoja, akitoka ndio mazima na akikataa atoe papuchino.
 
Hizo baraka unazopata ni sababu yake shukuru Mungu upo mahali salama
 
Huyo Mchungaji ana maneno yake binafsi anayomfundisha au ni maneno ya Mungu? Na kanisani tunaenda kumsikiliza Mchungaji au neno la Mungu kupitia Mchungaji?
Huyo hata ukimuoa atamsikiliza zaidi mchungaji, Cha kufanya mwambie Kama ameokoka serious basi arudi kwao Kwanza Hadi siju utakapofunga nae ndoa ndio muanze kuishi pamoja, akitoka ndio mazima na akikataa atoe papuchino.
 
Huyo Mchungaji ana maneno yake binafsi anayomfundisha au ni maneno ya Mungu? Na kanisani tunaenda kumsikiliza Mchungaji au neno la Mungu kupitia Mchungaji?
Siyo kila anayofundisha ni maneno ya mungu, mengine ni maneno yao binafsi..kwani hujawahi kusikia wachungaji wanaoharibu kondoo?
 
Back
Top Bottom