Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Dec 10, 2008 #1 Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi. Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi. RIP mzazi wa mwenzetu.
Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi. Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi. RIP mzazi wa mwenzetu.
M Mama JF-Expert Member Joined Mar 24, 2008 Posts 2,848 Reaction score 66 Dec 10, 2008 #2 Pole sana MF, ndugu, jamaa na marafiki. RIP baba.
Tanzania 1 Senior Member Joined Oct 4, 2007 Posts 197 Reaction score 25 Dec 10, 2008 #3 Pole sana, Mchukia Fisadi! Mwenyezi Mungu akupeni moyo wa uvumilivu wakati huu wa msiba.
M Mwanjelwa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 956 Reaction score 147 Dec 10, 2008 #4 Invisible said: Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi. Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi. RIP mzazi wa mwenzetu. Click to expand... Pole sana mchukia fisadi. Bwana akuongezee nguvu
Invisible said: Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi. Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi. RIP mzazi wa mwenzetu. Click to expand... Pole sana mchukia fisadi. Bwana akuongezee nguvu
A AmaniGK JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 1,170 Reaction score 408 Dec 10, 2008 #5 Pole mchukia ufisadi kwa mazito haya.
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,848 Dec 10, 2008 #6 Pole sana mkuu MF, tunakuombea kwa M'Mungu akupe subra, nguvu na iman, katika wakati huu mgumu wa majonzi! M'Mungu ailaze roho ya marehemu panapo stahiri. Amin
Pole sana mkuu MF, tunakuombea kwa M'Mungu akupe subra, nguvu na iman, katika wakati huu mgumu wa majonzi! M'Mungu ailaze roho ya marehemu panapo stahiri. Amin
Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 81 Dec 10, 2008 #7 Invisible said: Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi. Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi. RIP mzazi wa mwenzetu. Click to expand... Mpe pole sana, RIP mzazi wa mwenzetu
Invisible said: Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi. Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi. RIP mzazi wa mwenzetu. Click to expand... Mpe pole sana, RIP mzazi wa mwenzetu
K kela72 Senior Member Joined May 5, 2008 Posts 168 Reaction score 4 Dec 10, 2008 #8 Pole sana ndugu yangu MF, inauma sana kufiwa na mzazi, ila ndio jinsi Mungu alivyo tuumba na kifo pia akatuwekea. Bwana wa majeshi akutie nguvu.
Pole sana ndugu yangu MF, inauma sana kufiwa na mzazi, ila ndio jinsi Mungu alivyo tuumba na kifo pia akatuwekea. Bwana wa majeshi akutie nguvu.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 10, 2008 #9 Pole sana MF,Mungu akupe nguvu ya kukabiliana na msiba huu wa kupotelewa na baba yako.R.I.P baba wa MF
Pole sana MF,Mungu akupe nguvu ya kukabiliana na msiba huu wa kupotelewa na baba yako.R.I.P baba wa MF
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,465 Dec 10, 2008 #11 Pole sana Mkuu MF - Bwana ukupe nguvu katika kipindi hiki
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Dec 10, 2008 #12 pole sana MF, ndugu, jamaa na marafiki wote na ninakutakia safari salama na shughuli zote ktk msiba ziende vema.
pole sana MF, ndugu, jamaa na marafiki wote na ninakutakia safari salama na shughuli zote ktk msiba ziende vema.
Makindi N JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 1,066 Reaction score 177 Dec 10, 2008 #13 MF stay strong and focused ktk mapito haya! R.I.P mzazi!
BrownEye Member Joined Jul 31, 2007 Posts 84 Reaction score 5 Dec 10, 2008 #14 Mungu mwenyewe ajuaje kufariji na akupe faraja idumuyo. Tunakuombea nguvu na hekima katika kulimaliza jambo hili gumu na la huzuni. RIP baba wa MF.
Mungu mwenyewe ajuaje kufariji na akupe faraja idumuyo. Tunakuombea nguvu na hekima katika kulimaliza jambo hili gumu na la huzuni. RIP baba wa MF.
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,958 Reaction score 3,706 Dec 10, 2008 #15 Pole sana Mchukia Fisadi. Mungu akupe uvumilivu wakati huu wa majonzi.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Dec 10, 2008 #16 Poleni wote tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu..
R Rwabugiri JF-Expert Member Joined Jul 10, 2007 Posts 2,775 Reaction score 230 Dec 10, 2008 #17 Poleni MF ndugu na jamaa waloguswa na msiba huu.
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,534 Reaction score 2,492 Dec 10, 2008 #18 Pole sana Mchukia Fisadi, safiri salama na wakilisha pole zetu huko nyumbani.
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Dec 10, 2008 #19 Pole Mchukia Ufisadi.
V Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,007 Reaction score 60,104 Dec 10, 2008 #20 Pole sana MF!