Mchukia Fisadi kafiwa

Status
Not open for further replies.

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,873
Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi.

Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi.

RIP mzazi wa mwenzetu.
 
Pole sana, Mchukia Fisadi! Mwenyezi Mungu akupeni moyo wa uvumilivu wakati huu wa msiba.
 
Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi.

Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi.

RIP mzazi wa mwenzetu.

Pole sana mchukia fisadi. Bwana akuongezee nguvu
 
Pole sana mkuu MF, tunakuombea kwa M'Mungu akupe subra, nguvu na iman, katika wakati huu mgumu wa majonzi!

M'Mungu ailaze roho ya marehemu panapo stahiri. Amin
 
Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi.

Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi.

RIP mzazi wa mwenzetu.

Mpe pole sana, RIP mzazi wa mwenzetu
 
Pole sana ndugu yangu MF, inauma sana kufiwa na mzazi, ila ndio jinsi Mungu alivyo tuumba na kifo pia akatuwekea. Bwana wa majeshi akutie nguvu.
 
Pole sana MF,Mungu akupe nguvu ya kukabiliana na msiba huu wa kupotelewa na baba yako.R.I.P baba wa MF
 
pole sana MF, ndugu, jamaa na marafiki wote na ninakutakia safari salama na shughuli zote ktk msiba ziende vema.
 
Mungu mwenyewe ajuaje kufariji na akupe faraja idumuyo. Tunakuombea nguvu na hekima katika kulimaliza jambo hili gumu na la huzuni. RIP baba wa MF.
 
Pole sana Mchukia Fisadi. Mungu akupe uvumilivu wakati huu wa majonzi.
 
Pole sana Mchukia Fisadi, safiri salama na wakilisha pole zetu huko nyumbani.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom