Mchuchu anataka niwe namhudumia nimegoma amekasirika

Wa kwangu nimeruhusu kiroho safi wengine wahudumie kwa sababu hata wakimtomba hawaondoki nacho.Maisha ni very simple hakuna haja ya kucomplicate!
 
Kwanini na Wewe usisubirie..Hadi Ndoa ndo.UMLE..

wewe unamla binti ya watu...wazazi wake wamhudumie..Ila Wewe UWE UNATOMBA TU
hahahahahaaaaaaaaa, yeye ndio mchokozi wala sio mimi. Yeye ndio huwa wa kwanza kutaka dudu. Basi anapewa tu dudu ake. Alafu tuwage siliasi inamaana wao wanawake huwa hawapati utamu. Kama hawapatagi utamu kwanini wanalalamika kuwa hawalizishwi, mara mm sipendi kibamia kibamia kina makosa gani, ni kipi kinawafanya waanze kusaka, vimiguu vya watoto.
 
Mambo yenyewe ni hivi,
Nimekua nikizozana na mchuchu mara kwa mara eti anataka niwe namhudumia kidume nimegoma.

Nimeushikiria msimamo kwamba atahudumiwa mpaka nitakapomuoa. Nimemwambia wazazi ndio wenye jukumu la kumhudumia au kumlea kwa sasa.

Mchuchu amekasirika hataki kuzungumza na mimi tena halafu kidume sina time naye na endelea kupiga shughuli zangu kama kawaida.

Wewe kwa mtazamo wako unaweza kumhudumia mchuchu?
Mchuchu ndiyo mdudu gani
 
Yupo mwenzie alitaka kuja mageton leo nkamwambia tu kwa upole financially cko vzur maana cpend fedheha mtt aje afu akose hata nauli,kumuambia vile ndo kanikasirikia,hawa watu tabu sanaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom