ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,134
- 50,823
Wakuu Jakaya Kikwete Rais Mstaafu wa Tanzania anagombea nafasi ya kuwa African Union Commission Chairperson ambapo Mshindani wake ni Raila Omollo Odinga.
Tayari Vilio vya usaliti vimeanza kusikia kutoka Kwa majirani Kenya kwamba Uhuru anapigia kampeni Jakaya na sio Rao.
My Take
Kila la Heri Jakaya ,unatosha sana kwenye kiti hicho kama mwanadiplomasia mashuhuri Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.

Senator Samson Cherargei accuses Uhuru Kenyatta of supporting Tanzania's Jakaya Kikwete - instead of Raila Odinga - in the AU Commission chairperson job.