Mchoro wa Masoud Kipanya leo

Mchoro wa Masoud Kipanya leo

RtsHjcq

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
4,753
Reaction score
5,516
Nimepata comment moja ikisema Masoud Anamaanisha;Tatizo kubwa wetu waafrika ni njaa Na ndiyo maana hutuwezi kufanya lockdown kwani watu watakufa njaa.

Anaendelea kusema kuwa;kwasababu ya kutafuta riziki watu wanakumbana Na virus vya corona lakini cha kumshukuru Mungu ni kwamba wengi wana survive yaani wanaumwa, wanapona maisha yanaendelea.

Vipi mawazo yako!

.
FB_IMG_1586326851102.jpeg
 
Rate ya kufa inahusiana na viwango vya maambukizi. Hakuna anayeombea au kutaka rate hizo. Hata hivyo ukweli mchungu haisaidii kuuficha.

Tusidanganyane kuwa kama watanzania tunapata Corona tunapoona. Kenya, Tanzanian, DRC wamekuja watu tena weusi.
tunazidi kusubiri mkuu tuone hatma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom