Ni Mungu tu mkuu Ila pia pengine zamu yetu bado haijafika ya kile kiwango kibaya zaidi cha maambukizi na vifolabda afrika ina njaa sana hadi covid19 anatuonea huruma.............
Hebu weka picha yake tuone wengine hatujawahi kuona
HakikaNi Mungu tu mkuu Ila pia pengine zamu yetu bado haijafika ya kile kiwango kibaya zaidi cha maambukizi na vifo
HAWA SIJUI WATALII AU WAGONJWANaendelea na vitunguu saumu na malimu therapy.
Maana wageni wanaendelea kutiririka
Ikawaje sasa watu weusi huku afrika tunaambiwa corona haina athari sana?Angalia hapa mkuu kuhusiana na waamerika weusi:
African Americans Recorded A High Number Of Deaths In USA.