Mchoro huu unamaliza vurugu za maono zote za Januari

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
1610206545985.png
 
Hakika Jan 2021 nimeelewa kwa nini watu huwa wanalia January!

Sijawahi kufulia kama Jan ya 2021!@##%&:%/=#$^£¥__'viteyrss#@%;&%##£€£*^
 
Vile House girl anakutazama umelipa hela ya ada ya watoto wako wakati yeye hujamlipa miezi 3 sasa na mwanaye anahitaji uniform za shule kijijini
 
Back
Top Bottom