darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 8,722
- 16,935
Ningependa kujua ilipo bendi moja ya mchiriku ambayo ili-modernize muziki wa mchiriku (kwa kuweka vinanda na magitaa) mwanzoni mwa miaka ya 1990 ambayo iliitwa Hisani Musical Club ambyo ilitoa album yao moja iliyotamba sana miaka hiyo.
Nakumbuka kipindi hiko nikiwa mdogo nikipita Kariakoo ilikuwa vibanda vya wauza kaseti nyimbo zake zilipigwa sana mfano "uko wapi" Ally Mwinyi Hodari" "mola wangu nk. Mdau mwenye kujua taarifa zao na ikiwezekana kuwa na nyimbo zao azitupie hapa ili tukumbuke.
View: https://m.youtube.com/watch?si=Px2TpgRJFpNJ6r66&v=TBHZx4UPr8g&feature=youtu.be