Mchina wa Botswana na kokolochi!

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
74
Nimejaribu ku search ile post ya Mchina wa Botswana anayetaka kuua kokolochi bila mafanikio. Kuna uwezekano wa kui post tena? Natanguliza shukrani.
 
Nimejaribu ku search ile post ya Mchina wa Botswana anayetaka kuua kokolochi bila mafanikio. Kuna uwezekano wa kui post tena? Natanguliza shukrani.

Iko hapa Mkuu: https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/40493-mchina-wa-botswana-lazima-ucheke-4.html

NB: Hii niliongezea
chinese-eye-test.jpg


Umeona hayo maajabu?

Je umeweza kusoma? Kama umeshindwa, usishangae. Hii ni kwa sababu wewe si Mchina.

Ili uweze kusoma:
"weke kidole/vidole pembeni mwa macho yako na uyavute kwa nje kuelekea upande yaliko masikio hadi uwe na macho ya Kichina. Hapo utaweza kusoma kilichoandikwa".

Nyingine ni kufanya kama unafumba macho. Hii pia unajifananisha na Mchina.

NB: Macho ya Wapwa yakoje?
 
Asante sana Mkuu Sikonge. Umeniacha mbavu zinauma
 
Back
Top Bottom