Mchina ni noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchina ni noma

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Jul 29, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,074
  Trophy Points: 280
  Jamani jamani mchina ni noma hapa TZ kashika kila kona ya bidhaa
  Mwanzo alianza kwa kuuza madawa asilia sabuni na dawa za mswaki, baadae akaja kwenye gari haswa za kunyoosha magari, akaja na kuleta pikipiki na dawa za kuongeza maumbile ya mwili (hips, wowowo, mbunye, uume n.k) sasa kwa sasa hivi ameshika kila kona kuanzia nguo, mataulo, mashuka, sabuni, dawa za meno, ped, vifaa vya ujenzi, simenti, rangi, vifaa vya electronic, mabasi, magari, viatu, karanga, tambi, ice cream (cone), maziwa ya unga, maji ya chupa, madaftari, kalamu, kompyuta, calculator, vyombo

  Halafu bidhaa zao hata hawa-advertise zinajiuza zenyewe na zina soko kinoma nadhani sasa watatuuzia mpaka bastola za kichina hizo za kupigia mkwara tu risasi ikikupata ufi ila mlio ni mkubwa unaweza ukazimia nasikia walizileta sabasaba zikapigwa marufuku
   
 2. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  sasa tufanyeje na hali tumewaruhusu sisi wenyewe waje kwetu, kwani tuliua viwanda vyetu vyote tumebakia kuuziwa kila kitu na wageni.
   
 3. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ungepost kwenye hoja mchanganyiko!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ndio maana China imeweza kuondoa watu milioni 300 kutoka kwene umaskini ktk kipindi cha muongo uliopita THANX TO OUR OWN STUPIDITY.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mbona hii habari haiendani na malavi davi
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,074
  Trophy Points: 280
  halafu wewe unapenda sana malavidavi
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwani we upendi malav dav?
   
 8. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35


  acha kabisa habari za malav dav. Ambae hapendi hiyo kitu, ana matatizo yake binafsi...... tena tunamwonea huruma kabisa..
   
 9. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ameona kula topic yake haitaonwa kiurahisi na watu wengi teh teh! si unajua tena watu wote hujazana ktk jukwaa hili.
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ndio msingi wa maisha
   
 11. M

  Manchala New Member

  #11
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si umeona hata nazi ya pakiti sasa inapatikana
   
Loading...