Chinese boy
Member
- Jun 16, 2009
- 10
- 1
Hongera kwa new couple. Wafanye fastafasta kutuletea vi-nephew..
Vinaweza kuwa feki kwa kweli...siwaamini hawa hata kidogo.
Hongera kwa new couple. Wafanye fastafasta kutuletea vi-nephew..
...labda wakaishi nje ya U china, sheria ya mtoto mmoja (计划生育政策😉 si bado inaendelea?
Jikusoma mazee..yaani kitu gani ni feki hapo? ndoa? au vi-nephew?
Hongera kwa new couple. Wafanye fastafasta kutuletea vi-nephew..
Kwa Wachina hii case ni very rare,maana mara nyingi wameshuhudia tu vijana wa ki'Afrika wakioa mabinti zao.Ukizingatia kuwa Nchini China wanawake ni wachache kulinganisha na idadi ya Wanaume,Wanaume wengi wa Kichina wamejenga chuki kiaina na Waafrika wanaochukua mabinti zao kama girlfriends au wake.Lakini tukio hili limeonekana kuwa ni furaha sana kwao na kwa haraka hakuna aliyeonekana kupinga,maana wengi hawapendezwi pale Mwafrika anapooa binti wa kichina.
Nafikiri matukio kama haya yatawapa faraja wachina wanaume wengi ambapo wamekuwa hawana Confidence ya kuwa wanaweza kuwa na mabinti wa Kiafrika.
Najua pale Arusha kuna binti mmoja kaoana na Mchina Actect fulani
Ila sikufanikiwa kupata Story yake vizuri.Kama kuna cases nyingine naomba wadau mnipe data.
Ingekuwa ni matukio ya Waafrica kuoa mabinti wa Kichina najua wangeshindwa chagua wa oneshe ndoa ipi maana ni nyingi sana,lakini
katika hili kulikuwa na Special Excitment kwa Watazamaji...
Tutaona matokeo ya mwingiliano wa wanaume wa kichina na wanawake wa kitanzania katika miaka ijayo ... thanks to projects mbalimbali - ujenzi wa Uwanja wa Taifa, ujenzi wa barabara, majengo n.k.
He he he..Hii kesi ya huyu mdada wa kiethiopia ni tofauti na kadhia za wadada wetu 'wapiganaji' wanaohangaika kutafuta faranga na wachina. Huyu mdada na mumewe wanaonekana wametokea mbali hawajakurupuka na hata mtoto pundamilia akipatikana anakuwa kweli anajitambua na kujiheshimu tofauti na dizaini za kontrakta wa kichina na dada 'mpiganaji'.
Kiukweli napenda watoto 'pundamilia' waliolelewa vyema ..wanakuwa very unique na wanaleta kitu tofauti ktk jamii yeyote ile.
LOL!
Umenichekesha sana Abdulhalim!
Nchini kwao pia unaweza zaa watoto wawili kama baba na mama wote...labda wakaishi nje ya U china, sheria ya mtoto mmoja (计划生育政策😉 si bado inaendelea?