MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
uhamiaji ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa sana kwa rushwa na kutowajibika ipasavyo katika nyanja zote za huduma kwa wananchi hivyo kupigana katika ofisi hizo sio jambo la ajabu kwa yule anayeweza kukosa uvumilivu. kimsingi yupo atayeua ofisa wa uhamiaji kama hali ya kutowajibika itaendelea