iii auwiii uwiii yeuwiii, auwiiii yelewiiuHata Mimi nilipata F 9 Na D moja ya kiingereza
View attachment 324142
Mara Nyingi Sana jina linaweza kuwa sababu ya wewe Kupenya ama Kukwama kwenye maisha. Baada ya matokeo ya Kidato cha Nne siku ya Jana Story kubwa ni Mchina aliye pata nafasi ya Pili kitaifa ambaye ni Mchina.
CongCong Wang ambaye amepata A tisa na B Moja Ya Kiswahili anasema Cong Maana yake ni Clever na Wang Maana yake ni King... So Jina lake lina maana Clever Clever King. Katika Mtihani wa Mock mkoa wa Dar alikuwa wa 2.
Alianza kusoma darasa la pili alipomaliza darasa la saba akaamua kuchagua NECTA badala ya Mfumo wa CAMBRIDGE sababu mfumo wa NECTA ni mgumu zaidi.
Kiswahili ni lugha yake ya 4 kujifunza anasikitika kupata B wakati MOCK alipata A.
Kati ya masomo aliyokuwa anafurahia zaidi ni somo la Historia ambalo mwalimu alikuwa anafundisha vizuri sana kama Movie.
Source:Clouds Media Group
ndiyo maana jambo moja unaweza muelezea mara nyingi na aiskuelewe ila nacho wapendea ni kuwa hachoki na aoni aibu kuuliza no matter whatTuacheni utani wachina ni wagumu sana kuelewa huyo mchina ni genius tu kazaliwa hivyo.. Mimi nimesoma na wachina nchi za nje ni vilaza hatari. Wao wataluburuza tu kwenye Hesabu basi ..
Tatizo ni Gens, kama ukoo wenu mna asili ya kupata F masomo yote unafikiri wewe utachomoaje? F zitakuhusu mpaka mwisho wa maisha yako.mchina anapata B kiswahili anasikitika wakati kuna wabongo wanapata F wanachukulia poa,,,hongera kwake hongera kwa kutuacha uchi wa Tanzania
Miss chaga yani unawajua sana kumbe.. Nakuambua ni wagumu kuelewa ila atakusumbua mpaka aelew wakati mbongo mimi nlikuwa naelewa fasta ila sifuatilii wala nini lakini mchina anakomaa anarudia rudia hadi kina mkaa kichwani mwisho wa siku anakuzidi tena wakati wewe ndio uliyemuelekezandiyo maana jambo moja unaweza muelezea mara nyingi na aiskuelewe ila nacho wapendea ni kuwa hachoki na aoni aibu kuuliza no matter what