Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

Weeeee uzi mrefu potezeaa banaaaa

Mr. BK usipotezee,

Kuna ushahidi walikua wakiruka namba mbili mbili!!

Huu ushindi umechakachuliwa. Next time ili akidi ya ushindi itimie lazima kuwe na 2/3 ya walioridhia kutoka kila upande.

Pia ijulikane wachezaji ni wangapi!! Katiba pendekezwa ya Jaji Warioba ilitaja haya yote, lakini wao wameichakachua na kuondoa hivi vipengele muhimu!!
 
Last edited by a moderator:

Asiyekubali kushindwa si mshindani bwanaaa....

Na mkipinga ushindi wetu...tutaingia msituni........
 
Last edited by a moderator:
Asiyekubali kushindwa si mshindani bwanaaa....

Na mkipinga ushindi wetu...tutaingia msituni........

Kimnana una shidaaah....kwanza mchezo wenyewe mlikuwa mkicheza kwa kuvizia yaani mnacheza ucku wa manane kiasi kwamba binadamu wote tunakuwa tumelala.....loooooo. Nawapongeza kutumia ujuzi kuchakachua
 
Natumia nafasi hii kuwashukuru kwa kunipa support katika mchezo huu, ni dhahiri kuwa tumeburudika na tumeutumia mchezo kuleta upendo na amani baina yetu...
Kama ilivyo kawaida, ushindi ni ushindi tu hata uwe umepatikana kwa kurusha shilingi.
Nichukue fursa hii kuipongeza timu KE na hasa wawakilishi wa hiyo timu kama Dinazarde, Kim nana, Khantwe na wengineo.
Mchango wenu ndio ushindi wa timu yenu
Nitoe pole kwa timu ME. mchezo ulikuwa mwepesi ila tumeucheza kiblaza men sana tukajikuta tunapiga droo 6 mfululizo kama Simba club, next time tujitahidi.
Hawa wenzetu wametushinda humu hapakaliki...videdea tuuu!!
Haaaaaaaaa, najisikia furaha kuwatangaza ni washindi pia nasikitika kutangaza kuwa tumeshindwa.
Mwisho wa game hii ndo mwanzo wa game nyingine I hope we (Me) will take over......
 
Umesema tumepata ushindi kwa kurusha shilingi??? Hem futa kauli hiyo aisee
 
Oooh mamah.....thank u Kim nana. Nami niwashukuru wote walioshiriki huu mchezo kwa moyo mmoja kwa kweli haikuwa kazi rahisi maana timu pinzani walikuwa wanacheza rafu hatari......lakini pamoja na hayo yote team ke tumeibuka kidedea....nawashukuru sana
 
Last edited by a moderator:
Kimnana una shidaaah....kwanza mchezo wenyewe mlikuwa mkicheza kwa kuvizia yaani mnacheza ucku wa manane kiasi kwamba binadamu wote tunakuwa tumelala.....loooooo. Nawapongeza kutumia ujuzi kuchakachua

Hamkosi visingizio.....mwingine kasema et tulikuwa tunashinda hapa 24 hrs khaa ina maana hata kulala tulikuwa hatulali? We umekuja et tulikuwa tunavizia usiku wa manane....
 
Hamkosi visingizio.....mwingine kasema et tulikuwa tunashinda hapa 24 hrs khaa ina maana hata kulala tulikuwa hatulali? We umekuja et tulikuwa tunavizia usiku wa manane....

Ndo tushashinda tena...wao hawajioni walivyokuwa wanaongiza mamluki...hadi team lumumba ilitwa....mchezo....

Tunataka zawadi yetu.....
 
Ndo tushashinda tena...wao hawajioni walivyokuwa wanaongiza mamluki...hadi team lumumba ilitwa....mchezo....

Tunataka zawadi yetu.....

dih hii soo nlikua nimezidiwa na mambo flani ndo maana mkatupita. hao timu lumumba wachoyo hamna hata mmoja aliekuja maana wamezoea buku saba akati mimi nisingewapa kitu ndo maana hayakuja ila hongereni sana
 
Ndo hivyo tumeshindaaaa....chezea sie....

Pilau la ushindi litapikwa kwa Dinazarde karibuni mtudoweee.....
 
Last edited by a moderator:
Haaaaa sikuwezi....na mi nakaribishwa kula huo wali mweusi?

Karibu thanaaaaaa....ila uje na zawadi tuu...
La sivyo pilau utapewa na kupigwa utapigwaa tuuuuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…