Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,006
- 72,305
Changamka tupandishe
Unaniudhije si ukale hukoo
Changamka tupandishe
Pdyd sio hivyo banaaa ukikuta kama ni mimi nimeweka 76 we unajumlisha moja inakua 77 halaf hairuhusiwi uandike mara mbili unaandika mara moja unasubiri anaandika mwingine nawe ndio unaandikaaa
Unaniudhije si ukale hukoo
Lube ungekuwa MWL ushantukana walahiKwani ameingia kucheza bila kupitia instruction mwanzoni mwa thread?
Hongera ushalipia ile DSTV maukobarNshakula natazama mechi
Lube ungekuwa MWL ushantukana walahi