naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,435
Checkers yapo mengi jamanii, hilo mnalozungumzia nyinyi ni lipi?
Naomba link kama inawezekana
Mpaka ucheze nao on-line nafikiliWale madada wengine mbona hawafunguki, wanafunguka wawili wa mwanzo, wengine wanafungukaje
Hilo ninalo mkuu nimecheza nimemaliza levo zote nashinda tu
Download hiyo niliyo ichora hapo ipo play store afu uchague Russian checkers, mwanzoni utafunga kisport sport lakini level zitazidi kupanda na ndo game itazidi kuwa ngumu zaidi, ukikaza inakuja heavy zaidi.
Karibu.
Download hiyo niliyo ichora hapo ipo play store afu uchague Russian checkers, mwanzoni utafunga kisport sport lakini level zitazidi kupanda na ndo game itazidi kuwa ngumu zaidi, ukikaza inakuja heavy zaidi.
Karibu.
Haya sasa pumzika ufanye mambo mengine, wakati ukisubiri na sisi wenzako tufuzu levo zote.Hilo ninalo mkuu nimecheza nimemaliza levo zote nashinda tu
La wadada lipo kwenye computer
Si hili hapa mkuu?
Nielekeze jinsi ya kuwapata hao wadada
Sina pc mkuu, hilo ndio nalolitaka hili halina changamoto kwanguLa wadada lipo kwenye computer
Kama unayo pc sema wapi Unapatikana nikupe cd ufanye installation,
Wale ukiwafunga wanavua Nguo zote wanakaa
Lile lina wadada kama 12 hivi sasa ukiweza kuwavua wote chupi utakua umefanya kazi ya maanaSina pc mkuu, hilo ndio nalolitaka hili halina changamoto kwangu
Haya sasa pumzika ufanye mambo mengine, wakati ukisubiri na sisi wenzako tufuzu levo zote.
Wanacheza french au british?Lile lina wadada kama 12 hivi sasa ukiweza kuwavua wote chupi utakua umefanya kazi ya maana
FrenchWanacheza french au british?
Sawa na hili tuFrench
Kula mbele na nyuma boss
Nifundishe basi naona hapa kijiweni wananifungaHuu mchezo wala hautaji kufikiria sana kama wengi wenu mnavyodhani huu mchezo kuna kitu kinaitwa copy(formation) ukizitua hizo basi hakuna atakaye kusumbua maana utakuwa unajua sale ilipo na goli lilopo kufungwa kwako itakuwa hadithi
BurudaniKuna Faida yoyote inayo patikana?
Iv hilo game la kuwa vua wazungu vyupi zao halina link..!!??La wadada lipo kwenye computer
Kama unayo pc sema wapi Unapatikana nikupe cd ufanye installation,
Wale ukiwafunga wanavua Nguo zote wanakaa
Hapana mkuu Sina link yake, mm Kuna cd niliipata ya applications ndiyo liko humoIv hilo game la kuwa vua wazungu vyupi zao halina link..!!??
Maana nalitafuta sanaaaaa
Y kwenye simu kuna kipind nilikua lukizo bas game zote bi kitonga tuu...
Mwenye link anisaidie..