muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
..kesha isha huyo.saiv kuna wakna kata mwizi luambano.dogo janja.nduli..ronaldo.fyatuka mahisabati
katamwiz ndo kachukua ubingwa wa tz mwez ulioptan..ilkua singidaMkuu, hao wote naheshimu uwezo wao ila Mangwes ni habari nyingine
wapo man..
Wapo huko we jamaa?, nije kupiga kete jiwe niwashikishe adabu!..
Safi!!katamwiz ndo kachukua ubingwa wa tz mwez ulioptan..ilkua singida
mbele...britishSafi!!
Ushindi huo wa draft ni British au French...nikimaanisha ni aina gani ya mchezo mbele tu au mbele na nyuma...?
Naona Mikoa haswa ya pwani wanapenda kucheza British.mbele...british
Juz kati nilikipimia kijiwe flan hivi nikajua wanyonge
Asee nilipigwa kibla mara mbili
Baadaye nikajitahid ndio nikapigwa moja la kawaida.
Baada ya mwaka mpya ntarud kujiuliza
ufafanuz wako sasa juu yale sheria iliyo tajwa hapo juuMimi ni nomaa kwa mchezo wa draft kama kuna mtaalamu mwingine aombe mechi na mm nina michezo 5 ya hatari
pamoja man mimi mwenyewe kwereeedrafti ni kujua copy tu. kuna namna saba za kuanza game na zote zina majina. ni namna mbili tu unaweza kushinda kama unacheza na mafundi. kuanza na kete ya kati wanaita oldfaithful na kuanza na kete ya kwenye kona wanaita double corner. namna zingine zote ukikutana na anayejua copy atakukimbiza sana. nilijifunza hizi copy na counter zake hata miezi sita siku hizi napiga drafti kila mtu anashangaa. zamani nilikuwa naendaenda bila copy nilikuwa napigwa sana japo ilinisaidia uzoefu ikitokea mtu ametoka nje ya copy. mchezo poa sana huu.
britishSafi!!
Ushindi huo wa draft ni British au French...nikimaanisha ni aina gani ya mchezo mbele tu au mbele na nyuma...?
Nawezaje kupata draft kwenye mtandao?Hilo ndio draft LA kiume na linafikirisha kwelikweli
wewe umejua kuna watu wanatumia ndumba kwenye yale madude,sitanii.hiyo nilikuta wanacheza mm nikamuambia babu naomba kujaribu akaniambia mwl hii sio chaki hii
haaa...nikamvua msuli Mara mbili
set the date
umekula chipsi zangu halafu unajifanya mwanafunzi.Uwe na uwezo wa kuiteka akili ya mpinzani wako. uwe na uwezo wa kufikiria at least mpaka mchezo wa tatu mbele. Ukiwa na uwezo huo ninaweza kucheza na wewe lakini British. Added advantage uwe na maneno ya nyondo kufurahisha watazamaji na kumdhoofisha mpinzani wako mentally.
Mkuu nadhani draft unalielewa vizuri naomba usiache kunipa maujuzi zaidi mimi draft niugonjwa wanguunapeleka kete tatu za mstari mkuu (ikweta)...then unarudia mbili mkono wa kulia .....ukimaliza kabla hajaanza mashambulizi unaweza ukaanza wewe na kete mbele kati ya tatu za ikweta .....enjoy ....
Naomba link yake mkuuNinayo draft moja kwenye PC yangu kuna mdada wa stage ya pili kila siku ananichapa Supa mpaka wife ananiulumia yani natafuta kijiwe nijipige msasa ili nipambane naye tena mpaka avue kyupi
HahahaNinayo draft moja kwenye PC yangu kuna mdada wa stage ya pili kila siku ananichapa Supa mpaka wife ananiulumia yani natafuta kijiwe nijipige msasa ili nipambane naye tena mpaka avue kyupi