Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,566
Mchezaji Mtukutu wa Yanga bin Utopolo Bernard Morrison amekamatwa hivi punde baada ya kufukuzana na Polisi ambao walihisi kuwa huenda anatumia madawa ya kulevya.
Baada ya kufukuzana Polisi walifanikiwa kumkamata Kituo cha Mafuta Engine pale Mikocheni. Baada ya kukamatwa Morison aliwagomea Polisi na kuwaletea Kiburi. Polisi walipomkamata walikuta Gari ikiwa imetapakaa Moshi wa BANGI.
Polisi walimtuliza kidogo kwa medani ambazo huwa wanazitumia kwa wahalifu na kumpa vibao kadhaa kumuweka sawa ndipo alipokiri na sasa yupo Kituo cha Polisi Oysterbay. Si jambo zuri kwa hawa wageni kudharau Mamlaka za Nchini kwetu hususan JESHI LETU LA POLISI
Taarifa za zaidi zitawajia juu ya Sakata hili la utumiaji wa madawa ya kulevya Hadharani