Mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison akamatwa na Polisi akiwa na moshi mkali wa bangi

Sikiliza Mr Staple, makosa afanye mtu binafsi wewe unahiusishaje klabu, lakini ni vema pia klabu ikawa na utaratibu wa kudhibithi mambo kama haya kwa klabu, matumizi ya madawa ni tatizo kwa michezo yote duniani
Ukiona mtu kakudharau ujue wewe mwenyewe ndio unashida. Always mtu anadharau mtu yule aliyempa nafas ya kumdharau. Yanga nmejenga mazingira ya lusi na morisoni kuwadharau. Poor management
 
kosa hapo Ni Gari kunuka mbangi? au kushindwa kuelewana na polisi?
Hakuna kosa la kunukia bangi kisheria!
mtuhumiwa akipata wakili mzuri anaweza lipwa fidia kwa kudhalilishwa!

Mi naona polisi Wamkamate kwa uzururaji, pia waangalie Kama ana leseni yakuendesha gari inchini,. tatu wamshitaki kwa kutoa lugha chafu Kama wanaushahidi!
KOSA LA KUNUKIA BANGI HALIPO,. HALUFU HAIJAWAHI KUWA kosa la jinai!
Kuna watu wananuka vibeberu lakini hawana hata Mbuzi
 
Simba iliwahi mfukuza Mchezaji shoga aliyefumaniwa akilawitiwa ktk chumba ambacho klabu imemkodia, vipi Simba SC iitwe SHOGA SC?

Bazazi

Bangi mbona Kitu ya kawaida kuvuta hawana kazi za kufanya hawa.
 
Yanga hivi si ni wale wa kijani eeh..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyooo

Ova
IMG-20200730-WA0011.jpg
 
kosa hapo Ni Gari kunuka mbangi? au kushindwa kuelewana na polisi?
Hakuna kosa la kunukia bangi kisheria!
mtuhumiwa akipata wakili mzuri anaweza lipwa fidia kwa kudhalilishwa!

Mi naona polisi Wamkamate kwa uzururaji, pia waangalie Kama ana leseni yakuendesha gari inchini,. tatu wamshitaki kwa kutoa lugha chafu Kama wanaushahidi!
KOSA LA KUNUKIA BANGI HALIPO,. HALUFU HAIJAWAHI KUWA kosa la jinai!
Kuna watu wananuka vibeberu lakini hawana hata Mbuzi
Hii habari imeandikwa kiutopolo tangu lini mtu akakamatwa kwa kunukia harufu ya bangi watakuwa gsm wamemchomekea baada ya kufoji sahihi yake
 
Nitaijuaje harufu ya bangi iwapo mm si mtumiaji wa bangi?

Nina uhakika hao maafande ni wavuta bangi pia ila hamna wa kuwakamata, wana jangwani tuandamane leo tudai Morrison wetu aachiwe maana kama ni wavuta bangi wapo kila kona hata wajumbe waliomkataa Makonda na bishop Gwaji walivuta bangi na ugoro ndipo wakaingia ktk mchakato wa kupiga kura
 
Mchezaji Mtukutu wa Yanga bin Utopolo Bernard Morrison amekamatwa hivi punde baada ya kufukuzana na Polisi ambao walihisi kuwa huenda anatumia madawa ya kulevya.

Baada ya kufukuzana Polisi walifanikiwa kumkamata Kituo cha Mafuta Engine pale Mikocheni. Baada ya kukamatwa Morison aliwagomea Polisi na kuwaletea Kiburi. Polisi walipomkamata walikuta Gari ikiwa imetapakaa Moshi wa BANGI.

Polisi walimtuliza kidogo kwa medani ambazo huwa wanazitumia kwa wahalifu na kumpa vibao kadhaa kumuweka sawa ndipo alipokiri na sasa yupo Kituo cha Polisi Oysterbay. Si jambo zuri kwa hawa wageni kudharau Mamlaka za Nchini kwetu hususan JESHI LETU LA POLISI

Taarifa za zaidi zitawajia juu ya Sakata hili la utumiaji wa madawa ya kulevya Hadharani

Huu ni uongo na umekanushwa vikali na polisi. Mashabiki wa simba acheni uzushi
 
Back
Top Bottom