Mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison akamatwa na Polisi akiwa na moshi mkali wa bangi

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,196
3,560
Mchezaji Mtukutu wa Yanga bin Utopolo Bernard Morrison amekamatwa hivi punde baada ya kufukuzana na Polisi ambao walihisi kuwa huenda anatumia madawa ya kulevya.

Baada ya kufukuzana Polisi walifanikiwa kumkamata Kituo cha Mafuta Engine pale Mikocheni. Baada ya kukamatwa Morison aliwagomea Polisi na kuwaletea Kiburi. Polisi walipomkamata walikuta Gari ikiwa imetapakaa Moshi wa BANGI.

Polisi walimtuliza kidogo kwa medani ambazo huwa wanazitumia kwa wahalifu na kumpa vibao kadhaa kumuweka sawa ndipo alipokiri na sasa yupo Kituo cha Polisi Oysterbay. Si jambo zuri kwa hawa wageni kudharau Mamlaka za Nchini kwetu hususan JESHI LETU LA POLISI

Taarifa za zaidi zitawajia juu ya Sakata hili la utumiaji wa madawa ya kulevya Hadharani

morrison.jpg
 
Mchezaji Mtukutu wa Yanga bin Utopolo Bernard Morison amekamatwa hivi punde baada ya kufukuzana na Polisi ambao walihisi kuwa huenda anatumia madawa ya kulevya. Baada ya kufukuzana Polisi walifanikiwa kumkamata Kituo cha Mafuta Engine pale Mikocheni. Baada ya kukamatwa Morison aliwagomea Polisi na kuwaletea Kiburi. Polisi walipomkamata walikuta Gari ikiwa imetapakaa Moshi wa BANGI. Polisi walimtuliza kidogo kwa medani ambazo huwa wanazitumia kwa wahalifu na kumpa vibao kadhaa kumuweka sawa ndipo alipokiri na sasa yupo Kituo cha Polisi Oysterbay. Si jambo zuri kwa hawa wageni kudharau Mamlaka za Nchini kwetu hususan JESHI LETU LA POLISI
Taarifa za zaidi zitawajia juu ya Sakata hili la utumiaji wa madawa ya kulevya Hadharani

Bangi hiyo inatajwa kuwa ni ya kutoka Bukoba.View attachment 1521677
Morrison kawashika matakoni Yanga mpaka kachoka naona kahamia kwenye mamlaka zingine.
 
Kwahiyo Yanga sasa hivi wameongeza Jina lingine kwenye orodha yao , " Bangi FC "
Mchezaji Mtukutu wa Yanga bin Utopolo Bernard Morison amekamatwa hivi punde baada ya kufukuzana na Polisi ambao walihisi kuwa huenda anatumia madawa ya kulevya. Baada ya kufukuzana Polisi walifanikiwa kumkamata Kituo cha Mafuta Engine pale Mikocheni. Baada ya kukamatwa Morison aliwagomea Polisi na kuwaletea Kiburi. Polisi walipomkamata walikuta Gari ikiwa imetapakaa Moshi wa BANGI. Polisi walimtuliza kidogo kwa medani ambazo huwa wanazitumia kwa wahalifu na kumpa vibao kadhaa kumuweka sawa ndipo alipokiri na sasa yupo Kituo cha Polisi Oysterbay. Si jambo zuri kwa hawa wageni kudharau Mamlaka za Nchini kwetu hususan JESHI LETU LA POLISI
Taarifa za zaidi zitawajia juu ya Sakata hili la utumiaji wa madawa ya kulevya Hadharani

Bangi hiyo inatajwa kuwa ni ya kutoka Bukoba.View attachment 1521677
 
Utopolo mfanye mambo professionally kwenye vetting na usajili, kwa Morrison na yule Lucia wake mmetutia aibu sana.
Hata huko kwenu matopeni kulikua na akina Bobni, Nyotho na wengine wengi sana niwaache, juzi tu hapo Wawa na Okwi walitoroka kambini usiku na Uchebe akanywea
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom