Mcheza kwao hutuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mcheza kwao hutuzwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by babu M, Aug 17, 2011.

 1. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]
  Edward na Regina Lowassa wakiwa pamoja na Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Orlando Magic,Dwight Howard wakati alipotembelea jimbo la Monduli leo na kutoa msaada wa kiasi cha 90m kwa ajili ya jenzi wa mabweni.  [​IMG]

  [​IMG]
  Wanyange wa Vodacom Miss Tanzania wakiwa jimbo la Monduli.
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Asante babu, picha nzuri zinapendeza, nani aliwaalika hebu tupe kidogo basi wengine antena zetu hazija nasa
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hawa Vodacom Miss Tanzania walienda fanya nini sasa huko? Sioni uhusiano wao na hii event...
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hawa wenyewe ni vivutio
  watalii mwende kuwaangalia....lol!
   
 5. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145

  hiyo picha ya tatu naona ni mwendo wa red bull tuu... Kweli watoto wame kariri.....
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu kitu noma lazima uzime watoto wametupia kati lubega za kimasai utafikiri wamezaliwa huko thanx to vodacom kwa kututunzia mashosti wetu..
   
 7. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kavalishwa kimasai. Kapendeza kweli.
   
 8. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  picha nzuri, wote wamependeza.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Promo ya EL kisiasa.
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ha haaaa haaa.........mkuuu hawa kweli wamekariri ila wengine sku hzi utaskia savvanah
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  wamependeza, sasa ndo nini kupeleka pesa nyingine huko huko kwa f.................. mbona kuna shule kibao zinahitaji msaada.
   
Loading...