Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz

Psychologically utawachanganya sana hawa wanawake. Ninakuonea huruma na wewe mwenyewe. Kitu kikubwa kumbuka hakuna shida isiyo na mwisho, haya unayoyapata wewe sio wa kwanza, ni vizuri umekuwa muwazi kuomba ushauri. Ufikirie na damu yako itakavyolelewa nchi ambayo hawapendi weusi. Kama walivyoshauri wengine, mwambie wife utafika siku moja/mbili mbele, ukitoka airport tafuta hoteli. Baada ya siku mbili unaingia nyumbani kwa wife unamueleza yaliyotokea. Nyinyi wote watatu mpange future upya.
 
Tafuta jamii forum y huko korea afu uombe huu ushauri kisha ulete mrejesho wako hp jf ya bongo.me naweza kukushauri vzr ila nataka ujifunze na uwe pia mfano kw wengine wasijekuharibikiwa.
Wabongo mmezoea utapeli na usanii ht shm zisizostahili tunapenda kucheza na feelings za wengine.bora toka mwanzo ungemwambia ht mkorea kwamba ulikuwa unaishi na mke wa kaka yako ambae ni marehemu kidogo ungeweza kucheza kipindi cha pili
 
amekwambia mkorea siyo mzungu wewe wa wapi wewe
 
kweli asiyesikia la mkuu ,sasa binti atawakumbuka wazazi wake
 
Nimelipenda hili wazo, nitalizingatia. Ila itabidi niache baadhi ya vitu vyangu ili asishitukie mapema.
 
Kweli kaka damu yangu ni muhimu sana, ila cha muhimu ni kutafuta suluhisho wa tatizo hili lilipo kwanza.
 
Nimelipenda hili wazo, nitalizingatia. Ila itabidi niache baadhi ya vitu vyangu ili asishitukie mapema.

Hii damu yako unayoiacha itakuumiza sana, labda aamue kutoa mimba akishaelewa msala.
 
Wazo zuri mbadala litalizingatia.
 
Hili wazo nimelikubali hapa ningekuwa mm ningetumia njia hii
 
Kweli kaka damu yangu ni muhimu sana, ila cha muhimu ni kutafuta suluhisho wa tatizo hili lilipo kwanza.

Obama alizaliwa katika mazingira kama haya, unaweza kutuletea future Tanzania President kaka. Sijajua kipato chako ukirudi nyumbani kama utaweza kupanga nyumba ya mkorea lakini ninavyomsoma huyu binti akijua situation hawezi kukaa, ataamua kurudi kwao.
 
Nimelipenda hili wazo, nitalizingatia. Ila itabidi niache baadhi ya vitu vyangu ili asishitukie mapema.
ushauri mbaya sana huo sawasawa na kupiga ramli tu.umemdanganya binti wa watu ,umemchonganisha na wazazi wake na hela zake umekula .sasa hivi umemaliza shida zako unamwachia tumbo unamtoroka .laana hiyo itawaangukia watoto wako lazima watapatwa na mabaya na mimi naomba iwe hivyo.
 
Noted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…