Mchepuko unataka nimuache wife

Wewe lazma utakuwa ni mwanasheria nadhani utakuwa wakili wa serikali ukikonfirm kama hiyo ndo kazi yako nitakupa ushauri. Kama sivyo ninavyodhani am sorry.
 
Usiangalie sana maslahi utakuja jijutia.

Unaweza kumwacha mkeo kwa kutarajia huyo unaemfuata mtaishi kwa raha na matokeo yakawa tofauti na vile ulivyotegemea.

Fikiri mara mbili mbili kabla ya kuchukua uamuzi wa kumwacha mkeo
 
Kama ndo zenyewe ndo hizi Vitaimana ulikuwa sawa.
 
Last edited by a moderator:
Nimependa ulivyomsifia mchepuko
Ya kuacha mke bila kosa nayo ni ngumu.
 
Ndo maana wanamume tunadharaulika siku hizi kwa kujilegeza unaona maisha bila huo MCHEPUKO hayawezekani? msaliti mama yako aliekutafutia chaguo bora nawe umekiri.
 
Boss endelea na mke wako kama
hakusumbui. Ila mkuu hawa wanawake wanaotoa fedha kwa wanaume sijui wanapatikana wapi nimetamani na mimi nimpate mmoja wa kunipa mahela.usiku mwema boss
 
Kumbe Mario nao wamajisifu,jitu kubwa linajisifu kulelewa
 
Wakuu Mimi so marioo ila ni circumstances ndo zimenifanya nijikute kwenye hali hii
Mshahara wangu kwa kweli hautoshi kabisa, mke wangu anasoma kwa hela ya mchepuko, ninao wategemezi kibao kwenye ukoo, watoto wangu wanasoma kwa gharama za mchepuko

Mshahara nimeshaukopea mikopo kibao hauji kama ulivyo tena

MTU kama huyo alienisaidia maisha kiasi hiki naanzaje kumpiga chini?
Kinachonitatiza ni sharti lake LA kumuacha make wangu tu ndo shida
Kama angetaka tuendelee kwa siri mm nipo radhi hadi uzeeni
 
 

Mkumbushe hicho kipengele nilichokutilia wino mwekundu, aache kuzingua..au mkataba mliufanyia amendment hukutwambia...

Mwanangu kuna watu wanakukaribisha huko mahali uzinzi unaporuhusiwa..ukienda tu..unafungwa mabomu ya kiunoni ukalipue watu ili usipate wake wanne tu bali 72 kabisa!!!!!!!! maana wana tabia ya kuwavutia watu na mambo yanayohusu ngono ngono tuu, sio zawadi ya mwenyezi Mungu ambayo ni eternal life.
 
Baki njia kuu, Mungu kakupa mke mwema, hata kama hana mshahara ni bora zaid ya mchepuko, jpange 2 utafute kwa jasho lako. Wanaish watu kwa lak 3 tena wana family zaid yako ucjfarj kwakupewa hyo m1, itakuletea matatzo bure Achana nae mke wa m2 ni sumu.
 

Unatafuta na kuifuata laana achana nae kwanza umezini kumsaliti mkeo halali wa ndoa mkimbie pepo huyo atakutia mautini soon be careful
 
Jikaze bandugu shida ndani ya familia haziishi, jaribu kuusogeza mchepuko angalau kwa miezi mingine sita ama saba, weka akiba fedha anayokupa usitumie kabisa kabisa, hat m5 hivi kijana wako alie nyumbani mfungulie biashara fasta hata ya mitumba. Than piga chini mchepuko
 
badili jina kutoka 'wise one' kuwa 'idot one'
 
Oa mchepuko uwe na wake wawili, mchepuko mko pamoja tangu 2000 hamjajaliwa hata mtoto mmoja katika muda wote huu?
 

Kinachonishinda kuuacha huu mchepuko ni connection iliyopo kati yetu for so long
Yaani ni kama wife ndie aliingilia mapenzi yetu kwa heshima ya mama nikamuoa, otherwise huu mchepuko ndo ungekua mke halali, napata kigugumiz kumuacha
 

Ndugu vaa Viatu vyangu na vya mchepuko uweze kuona vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…