Mchepuko unataka nimuache wife

Mchepuko unataka nimuache wife

naomba nikutukane wewe jamaa.....kweli kabisa unathubutu kusema eti napokea ki m 1 kutoka kwa mchepuko,,,, na unatunza familia yako kwa hiyo m1,,, umebwetekaaa kama mkundu wa punda ..... shenzi sana wewe,,,, badala ufikirie mradi wa kuanzisha ......eti mchepuko sijui nini..... utageuzwa siku sio nyingi.... ndo wale unamla mchepuko na wewe anakupima oil umetulia tuu kama nguruwe mwenye nyege,,,,,,,,, pumbafu sana wewe.........
 
Unge argue kwa hoja tu wala isingekuwa tabu. Don't take matters too personal...!
 
Maelezo yako yoote hapo ni kujaribu ku-justify nia ovu ilioambatana na tamaa ya mwili ulionayo.. Umeshakuwa na familia unatakiwa upiganie familia yako.. Ungekuwa unampenda kweli huyo wa kwanza basi hata huyo wa pili usingemuoa.. Concentrate on your family and stop commitin adultery..
 
Moja- kuwa na mke alafu kuzini nje ya ndoa ni dhambi kubwa sana. Pili- Haya ndiyo ushakuwa nae sasa huo mchepuko, anakusaidia hicho kiasi kidogo cha pesa mpaka kufikia kujenga, kwa nini usifanye hata biashara ili usiendelee kuwa na wasi wasi, kwa sababu hofu yako ni kuachika kwa mchepuko wako. Tafakari chukua hatua.
 
Matatizo hayo ingia Uislam, umemaliza. Waislam wanaoana mpaka wanne, wewe na uwezo wako tu.

Na hauna haja tena ya kufanya dhambi ya uasherati kama ilivyo sasa.
FaizaFoxy.. Mie ni mkristo but nina ndugu wa karibu ambao ni waislamu na na vile vile i have friends ambao ni waislamu na wanaijua dini yao vizuri.. Moja kati ya ambalo nilihadithiwa ni kuhusiana na ndoa ya wake wengi.. Kwa mujibu wa maelezo niliyoyasikia ni kwamba kama mwanaume wa kiislamu anafikiria kuoa ndoa ya wake wengi inabidi siku anayopeleka posa kwa mke wake wa kwanza amtamkie mke mtarajiwa kwamba ndoa atakayoingia ni ya wake wengi.. Kwa hiyo ni juu ya huyo binti kukubali au kukataa hiyo posa.. Akikataa na ukaendelea na mipango ya ndoa then huwezi kuja kutaka kuoa baadae unless uje kumtaliki au bahati mbaya apoteze maisha..

Kama hiyo ni kweli basi huu ushauri kwa huyu jamaa utakuwa hauna maana.. Au..?
 
Last edited by a moderator:

Walikudanganya, kwa kuwa hakuna aijuwae "future".

Vyeti vya ndoa vya Tanzania ndiyo huandikwa, na katika ndoa za Kiislam vyote huandikwa ndoa yaweza kuwa ya wake wengi, hakuna Sheikh ataekuoza ukisema itakuwa ya mmoja tu. Hakuna sheria hiyo katika Uislam.
 
Mkuu naona hako kamilioni unakohongwa kila mwezi ndio kanakuchanganya.
 
Chuo umeanza 2000, tu-assume umemaliza 2003. Imepita miaka kumi na mbili sasa toka umalize chuo ila hujaweza kutengeneza kipato cha ziada tofauti na mshahara. Nina wasiwasi na elimu yako
 
Hii story haina hadhi yakujadiliwa maana imejaa uongo mwingi sana...ndan ya ndoa miaka 11 ndoa ilikuwa 2005 nafikir na ninaamini wewe ni BRN...
 
Yaan miaka 11 umeoa na una kazi na kamshahara kako bado ni laki7, mwalimu nn mkuu? Pole..

Anyway, mwambie wife unasafiri.. Ikitokea ajali yoyote iliyoua tuma msg fasta kuwa upo kwene hiyo gari then potea na mchepuko hiyo ni moja kwa moja hadi utakapokufa hakuna kurudi!
 
Hazbendi hebu achana na huyo mario.....

Kwanza wewe mwenyewe unafikiria kufanya nini? Tuanzie hapo kwanza ndo tukushauri.

Ila kwa tahadhari tu, Ukishamuacha mkeo utapewa shinikizo jingine la kuwaacha wanao. Uko tayari kwa hilo?

Fikiria kwanza wanao kabla hujamfikiria mke wala mchepuko.

Nimesema mimi babu yenu ODM kwa upendo wa Agape kwa wajukuu zangu.

Anashindwa kumfungulia mkewe hata genge la nyanya wakasaidiana maisha kakalio kukinga mikono...... mwache mchepuko umuwowe...
 
Hakuna atakayekushauri umwache mkeo ambaye wewe mwenyewe umesema hana tatizo lolote. Anakuheshimu na ni mama na mke bora kisa msaada toka kwa mchepuko.
Pambana na maisha kutafuta pesa wewe mwenyewe. Hapo yaonyesha kabisa unachofuata kwake ni pesa na si mapenzi sababu mapenzi unayapata kwa mkeo. Badilika.
 
Aingie uislamu kwa kuwa anaweza kuoa wake wanne au aingie uislamu kwa kuwa kaamini????

Matatizo hayo ingia Uislam, umemaliza. Waislam wanaoana mpaka wanne, wewe na uwezo wako tu.

Na hauna haja tena ya kufanya dhambi ya uasherati kama ilivyo sasa.
 
Dah! Hiyo kweli ni issue but just the simple issue to settle.

1 Ulisema huyo mke ulilazimishwa kumpenda but ukajifunza kumpennda. well, it seems you have a skill to love. Hadi hapo inamanisha hata huo mchepuko unaweza kuupenda.

2 Apart from the advice that you have got from FaizaFoxy still you have an option to choose whom is suitable to you. The option will be based on whom you love too much from deep of your heart. remember, divorcing your wife would let her feel much bitter if you regard you had been born with her and l you have no logic to leave her, on other hand your classmate seems to love you more rather than you think!!! For sure all blames lies to you for not made a right decision earlier. Hata mchepuko kuuacha si kitu kizuri.

Kwa kuzingatia no: 1 na 2 ningependa tu uangilie hasara za kuacha mmoja wao kati ya hao wawili as well as umeshajichanganya mwenyewe.

Ukimuacha mke mwema kama huyo ni ujuha coz;

1 ni mke mwema kama ulivyoelezea.
2 umeshazaa nae watoto watatu. (ni lazima uzingatie interest za watoto kama alivyoshauri Asprin ).
3 umeshampenda (kama ulivyosema)
4 ni chaguo la wazazi wako pia. plz love your parents like they do to you.

Hasara za kumuacha mkeo ni nyingi mno;
1 Watoto.
2 Wazazi.
3 Utamuumiza kihisia coz hana kosa.

On other hand, Faida za kubaki na mchepuko ni more material rather tham spiritual.

1 Anammewe.
2 Anajiweza kiuchumi.

Hasara za kuacha mchepuko ni ndogo mno.
M'me unapaswa kujituma na kuhakikisha unatimiza wajibu wako, laki 7 si kidogo kama unavyojaribu kutuaminisha hapa. still you have a chance to boost your incoming money/salary, always usitegemee tu kuajiriwa or usitegemee tu kamshahara ka kuajiriwa. hutotoka ndugu. Nakushauri soma hata vitabu vilivyowasaidia wengine kujikwamua kiuchumi.

Anyway huo ni ushauri tu, wewe ndie muamuzi. Vyovyote vile urakavyoamua KUMBUKA umario haufai ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Utauacha mchepuko na kwenda kuolewa sio?? Tafakari upya...
 
Laki saba zinatosha hesabu zako tu ndo mbovu, labda ulifeli hesabu ukiwa chekechea
 
Duuhh, Sasa kama nyie wenzetu mliosoma mnashindwa "kuresoan" sisi wa huku mtaani tufanyeje? You have to reason.
 
Back
Top Bottom