Mchepuko unataka nimuache wife

Mchepuko unataka nimuache wife

Dah! Hiyo kweli ni issue but just the simple issue to settle.

1 Ulisema huyo mke ulilazimishwa kumpenda but ukajifunza kumpennda. well, it seems you have a skill to love. Hadi hapo inamanisha hata huo mchepuko unaweza kuupenda.

2 Apart from the advice that you have got from FaizaFoxy still you have an option to choose whom is suitable to you. The option will be based on whom you love too much from deep of your heart. remember, divorcing your wife would let her feel much bitter if you regard you had been born with her and l you have no logic to leave her, on other hand your classmate seems to love you more rather than you think!!! For sure all blames lies to you for not made a right decision earlier. Hata mchepuko kuuacha si kitu kizuri.

Kwa kuzingatia no: 1 na 2 ningependa tu uangilie hasara za kuacha mmoja wao kati ya hao wawili as well as umeshajichanganya mwenyewe.

Ukimuacha mke mwema kama huyo ni ujuha coz;

1 ni mke mwema kama ulivyoelezea.
2 umeshazaa nae watoto watatu. (ni lazima uzingatie interest za watoto kama alivyoshauri Asprin ).
3 umeshampenda (kama ulivyosema)
4 ni chaguo la wazazi wako pia. plz love your parents like they do to you.

Hasara za kumuacha mkeo ni nyingi mno;
1 Watoto.
2 Wazazi.
3 Utamuumiza kihisia coz hana kosa.

On other hand, Faida za kubaki na mchepuko ni more material rather tham spiritual.

1 Anammewe.
2 Anajiweza kiuchumi.

Hasara za kuacha mchepuko ni ndogo mno.
M'me unapaswa kujituma na kuhakikisha unatimiza wajibu wako, laki 7 si kidogo kama unavyojaribu kutuaminisha hapa. still you have a chance to boost your incoming money/salary, always usitegemee tu kuajiriwa or usitegemee tu kamshahara ka kuajiriwa. hutotoka ndugu. Nakushauri soma hata vitabu vilivyowasaidia wengine kujikwamua kiuchumi.

Anyway huo ni ushauri tu, wewe ndie muamuzi. Vyovyote vile urakavyoamua KUMBUKA umario haufai ndugu.
We msichana una busara kama Mama Maria Thereza.... will you marry me???
 
Kama ulichosema ni ukweli mtupu basi MIMI yangu ni haya, na hii ni kwa wote wenye kutatizika katika mambo ya kufanya Maamuzi. Kwanza maamuzi sahihi na ya busara hayafanyi kwa kuzingatia others feeling,ulifanya maamuzi ili umlizishe mama, kitu ambacho kimekusumbua kwa mda mrefu, unge mweleza mama wewe unataka nini,tumia mda mpaka angekuelewa.Kwa sasa unaogopa kufanya maamuzi ili usizikose pesa million moja, Hii ni kwamba umejifunga akili kwamba huwezi kuishi na ukaweza kuhudumia familia yako kwa laki saba, kwa taarifa yako watu wanalipwa kidogo kuliko wewe na wameweza kutunza familia zao ( wake up brother) tatu bado unaweza kupata hata zaidi ya milion moja katika mazingira mengine acha kufanya maamuzi kwa kuzingatia mazingira yatokanayo na huyo ex wako, jiulize mungu akimchukua itakuwaje, amini unaweza mwombe Mungu lakin amka na fungua macho
 
Huo mchepuko ni kimeo. Kaa na familia yako.
Tambua angekuwa mke bora mumewe asingempotezea.
Tambua ukimuacha mkeo kwa 1 milion kwa mwezi hutazipata tena ukishamuoa.
Tambua ukimuacha mkeo watoto hawatalelewa katika mazingira bora.
Kumbuka mama yako alitembeza bakuli kupata ada yako chuo.watoto wako nani atawatunza?
Yawezekana mchepuko hauna uzao.utajuta na kufa mapema kwa stress.Ndoa njema ni stressfree ndoa.
Kaa njia kuu mchepuko ni hatari kwa watoto na familia
 
Back
Top Bottom