Mchepuko unataka nimuache wife

Mchepuko unataka nimuache wife

Wewe lazma utakuwa ni mwanasheria nadhani utakuwa wakili wa serikali ukikonfirm kama hiyo ndo kazi yako nitakupa ushauri. Kama sivyo ninavyodhani am sorry.
 
Usiangalie sana maslahi utakuja jijutia.

Unaweza kumwacha mkeo kwa kutarajia huyo unaemfuata mtaishi kwa raha na matokeo yakawa tofauti na vile ulivyotegemea.

Fikiri mara mbili mbili kabla ya kuchukua uamuzi wa kumwacha mkeo
 
Nimependa ulivyomsifia mchepuko
Ya kuacha mke bila kosa nayo ni ngumu.
 
Ndo maana wanamume tunadharaulika siku hizi kwa kujilegeza unaona maisha bila huo MCHEPUKO hayawezekani? msaliti mama yako aliekutafutia chaguo bora nawe umekiri.
 
Boss endelea na mke wako kama
hakusumbui. Ila mkuu hawa wanawake wanaotoa fedha kwa wanaume sijui wanapatikana wapi nimetamani na mimi nimpate mmoja wa kunipa mahela.usiku mwema boss
 
Wakuu Mimi so marioo ila ni circumstances ndo zimenifanya nijikute kwenye hali hii
Mshahara wangu kwa kweli hautoshi kabisa, mke wangu anasoma kwa hela ya mchepuko, ninao wategemezi kibao kwenye ukoo, watoto wangu wanasoma kwa gharama za mchepuko

Mshahara nimeshaukopea mikopo kibao hauji kama ulivyo tena

MTU kama huyo alienisaidia maisha kiasi hiki naanzaje kumpiga chini?
Kinachonitatiza ni sharti lake LA kumuacha make wangu tu ndo shida
Kama angetaka tuendelee kwa siri mm nipo radhi hadi uzeeni
 
Rejea kichwa cha somo hapo juu

Wakuu nimedumu kweñye ndoa kwa miaka 11 sasa,

Hivi karibuni mchepuko wangu Wa miaka mingi unataka nimuache wife ili niuchukue wenyewe kulingana na mkataba usio rasmi tulioingia miaka kama saba hivi iliopita

Wakuu ipo hivi:
Nilipoingia chuo mwaka 2000 nilikutana na binti mmoja ambae baada ya mapenzi kunoga tuliamua kuishi chumba kimoja nje ya chuo hii ilitokana zaidi na uwezo mdogo aliokuwa nao darasani ivo tukaishi pamoja ili tupate muda mwingi Wa mm kumsaidia kimasomo

Tulidumu hivyo kwa miaka yote mitatu hadi tunamaliza chuo ahadi yetu ikiwa no kuoana

Baada ya chuo nilipata kazi na kuanza maisha ya Mtaani, naye pia alipata kazi tena ya maana sana kuzidi yangu

Baada ya miaka miwili ya kazi nadhan ilikua 2005, mama yangu aliniletea binti kutoka nyumbani kwetu ili nimuoe
Kutokana na mama alivyohangaikia ada yangu ya chuo kipindi nasoma nilishindwa kumkatalia

Maana alihangaika sana pale kijjini ikiwa ni pamoja na kupitisha bakuli

Hivyo 2005 nikamuoa huyo binti Wa mama bila kumpenda
Yule mchumba Wa chuo nikamweleza ukweli wrote aliumia sana na kuniita majina tote mabaya

2007 naye akaolewa na jamaa mmoja mwenye pesa kiasi

2008 tukajikuta shetani ametupitia tukaendelea na uhusiano kwa siri kubwa ikafikia hatua akadai tuwataliki watu wetu ili tuishi pamoja

Kiukweli mdada huyu amekua msaada mkubwa sana kwangu kiuchumi
Hii ni kutokana na ukweli kwamba mshahara wangu haukutani nikilipwa Leo wiki tu umeisha na bado mahitaji ndani ni mengi, na ukizingatia Nina watoto watatu na mke ni mama Wa nyumbani

Hivyo basi huo mchepuko ndio umekua uki fill hiyo gap ya mshahara
Kila mwezi ninapolipwa laki saba ya mshahara mchepuko huniongezea million moja kutoka kwenye mshahara wake Wa 2.5 hivo anabaki na 1.5

Mimi nakua na 1.7 kwa utaratibu huu nimeweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu

Pia mchepuko hunisaidia mambo mengi sana, mfano mama alikua na kidney problem huyu mdada alifanikisha gharama kubwa tu ya matibabu

Mchepuko huu ndoa yake ina halo mbaya sana, mume kwa miaka mingi huwa anakuja home kubadilisha nguo tu na kupotea wiki kadhaa kabla ya kurudi tena kuchukua nguo na hadi Leo hawana mtoto yangu 2007 waoane

Sasa mchepuko umechoka kunisubiri ni malalamiko 24/7 kwamba tulikubaliana tuwaache watu wetu tuishi pamoja
Kiukweli mke wangu mwanzo sikua nampenda ila baadae nikajifunza kumpenda
Na hii imetokana na tabia yake nzuri

Ni mcha mungu, amekua mama bora Wa familia, hajawahi kunikosea makosa makubwa kama uzinzi

Kwa upande mwingine msaada Wa huu mchepuko bado nauhitaji, hiyo milioni moja ikiondoka nitabaki na laki saba yangu ambayo haitoshi ukichukulia kuwa watoto wote watatu wanasoma,
 
Rejea kichwa cha somo hapo juu

Wakuu ipo hivi:
Nilipoingia chuo mwaka 2000 nilikutana na binti mmoja ambae baada ya mapenzi kunoga tuliamua kuishi chumba kimoja nje ya chuo hii ilitokana zaidi na uwezo mdogo aliokuwa nao darasani ivo tukaishi pamoja ili tupate muda mwingi Wa mm kumsaidia kimasomo

Tulidumu hivyo kwa miaka yote mitatu hadi tunamaliza chuo ahadi yetu ikiwa no kuoana

Mkumbushe hicho kipengele nilichokutilia wino mwekundu, aache kuzingua..au mkataba mliufanyia amendment hukutwambia...

Mwanangu kuna watu wanakukaribisha huko mahali uzinzi unaporuhusiwa..ukienda tu..unafungwa mabomu ya kiunoni ukalipue watu ili usipate wake wanne tu bali 72 kabisa!!!!!!!! maana wana tabia ya kuwavutia watu na mambo yanayohusu ngono ngono tuu, sio zawadi ya mwenyezi Mungu ambayo ni eternal life.
 
Baki njia kuu, Mungu kakupa mke mwema, hata kama hana mshahara ni bora zaid ya mchepuko, jpange 2 utafute kwa jasho lako. Wanaish watu kwa lak 3 tena wana family zaid yako ucjfarj kwakupewa hyo m1, itakuletea matatzo bure Achana nae mke wa m2 ni sumu.
 
Rejea kichwa cha somo hapo juu

Wakuu nimedumu kweñye ndoa kwa miaka 11 sasa,

Hivi karibuni mchepuko wangu Wa miaka mingi unataka nimuache wife ili niuchukue wenyewe kulingana na mkataba usio rasmi tulioingia miaka kama saba hivi iliopita

Wakuu ipo hivi:
Nilipoingia chuo mwaka 2000 nilikutana na binti mmoja ambae baada ya mapenzi kunoga tuliamua kuishi chumba kimoja nje ya chuo hii ilitokana zaidi na uwezo mdogo aliokuwa nao darasani ivo tukaishi pamoja ili tupate muda mwingi Wa mm kumsaidia kimasomo

Tulidumu hivyo kwa miaka yote mitatu hadi tunamaliza chuo ahadi yetu ikiwa no kuoana

Baada ya chuo nilipata kazi na kuanza maisha ya Mtaani, naye pia alipata kazi tena ya maana sana kuzidi yangu

Baada ya miaka miwili ya kazi nadhan ilikua 2005, mama yangu aliniletea binti kutoka nyumbani kwetu ili nimuoe
Kutokana na mama alivyohangaikia ada yangu ya chuo kipindi nasoma nilishindwa kumkatalia

Maana alihangaika sana pale kijjini ikiwa ni pamoja na kupitisha bakuli

Hivyo 2005 nikamuoa huyo binti Wa mama bila kumpenda
Yule mchumba Wa chuo nikamweleza ukweli wrote aliumia sana na kuniita majina tote mabaya

2007 naye akaolewa na jamaa mmoja mwenye pesa kiasi

2008 tukajikuta shetani ametupitia tukaendelea na uhusiano kwa siri kubwa ikafikia hatua akadai tuwataliki watu wetu ili tuishi pamoja

Kiukweli mdada huyu amekua msaada mkubwa sana kwangu kiuchumi
Hii ni kutokana na ukweli kwamba mshahara wangu haukutani nikilipwa Leo wiki tu umeisha na bado mahitaji ndani ni mengi, na ukizingatia Nina watoto watatu na mke ni mama Wa nyumbani

Hivyo basi huo mchepuko ndio umekua uki fill hiyo gap ya mshahara
Kila mwezi ninapolipwa laki saba ya mshahara mchepuko huniongezea million moja kutoka kwenye mshahara wake Wa 2.5 hivo anabaki na 1.5

Mimi nakua na 1.7 kwa utaratibu huu nimeweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu

Pia mchepuko hunisaidia mambo mengi sana, mfano mama alikua na kidney problem huyu mdada alifanikisha gharama kubwa tu ya matibabu

Mchepuko huu ndoa yake ina halo mbaya sana, mume kwa miaka mingi huwa anakuja home kubadilisha nguo tu na kupotea wiki kadhaa kabla ya kurudi tena kuchukua nguo na hadi Leo hawana mtoto yangu 2007 waoane

Sasa mchepuko umechoka kunisubiri ni malalamiko 24/7 kwamba tulikubaliana tuwaache watu wetu tuishi pamoja
Kiukweli mke wangu mwanzo sikua nampenda ila baadae nikajifunza kumpenda
Na hii imetokana na tabia yake nzuri

Ni mcha mungu, amekua mama bora Wa familia, hajawahi kunikosea makosa makubwa kama uzinzi

Kwa upande mwingine msaada Wa huu mchepuko bado nauhitaji, hiyo milioni moja ikiondoka nitabaki na laki saba yangu ambayo haitoshi ukichukulia kuwa watoto wote watatu wanasoma, mama yao nilimpeleka University computing center, sasa amemaliza certificate, then aendelee na diploma

Pia kuna mdogo wangu ametimuliwa kazi na sasa karudi kuishi kwangu hali ni tete

Wakuu nipo njia panda
Mchepuko hautaki kuendelea na status quo
In fact hivi sasa umeondoka kweñye matrimonial home umeenda kweñye nyumba yake
Shida ipo kwangu
Nifanyeje wakuu?

Unatafuta na kuifuata laana achana nae kwanza umezini kumsaliti mkeo halali wa ndoa mkimbie pepo huyo atakutia mautini soon be careful
 
Jikaze bandugu shida ndani ya familia haziishi, jaribu kuusogeza mchepuko angalau kwa miezi mingine sita ama saba, weka akiba fedha anayokupa usitumie kabisa kabisa, hat m5 hivi kijana wako alie nyumbani mfungulie biashara fasta hata ya mitumba. Than piga chini mchepuko
 
badili jina kutoka 'wise one' kuwa 'idot one'
 
Oa mchepuko uwe na wake wawili, mchepuko mko pamoja tangu 2000 hamjajaliwa hata mtoto mmoja katika muda wote huu?
 
Nimejikuta naona aibu kama hii mada ameileta kaka yangu jukwaani, huo ni uvivu wa kutafuta na kupenda vya kupewa na mara nyingi ukipenda vya kupewa basi unakuwa hauna maamuzi unapelekeshwa tu, Ushauri wangu mimi tafuta kazi sio mashirika yote yanayolipa 700,000 kuna mengine yanalipa ata 7million kwa mwezi, kwa mfano Kampuni za gas hizi, pili tafuta mtaji fungua biashara, mke wako ataisimamia hiyo biashara akimaliza short course yake, Usije ukasingizia hauna pesa ya kufungulia biashara kuna bank kibao zinatoa mikopo, chukua ata 3million weka kibanda ya MPESA,TIGO PESA utaendelea kaka yangu, huyo mwanamke anaekuhudumia hujamuweka ndani anakuwa mcharo sababu yupo nje, ukimuweka ndani utamkumbuka mwanakijiji wako, matusi yote ya mjini utayapata wewe mfano usinibabaishe kwanza mjini unakaa kwa nguvu yangu, huo ni ushauri tu akili kumkichwa

Kinachonishinda kuuacha huu mchepuko ni connection iliyopo kati yetu for so long
Yaani ni kama wife ndie aliingilia mapenzi yetu kwa heshima ya mama nikamuoa, otherwise huu mchepuko ndo ungekua mke halali, napata kigugumiz kumuacha
 
Unashida kubwa wewe! Yaani mkeo humpendi ulimuoa kwa shinikizo la mama yako(hapa automaticaly unataka kujustify sababu ya kuendelea kuchepuka)

Huo mchepuko wako sugu ulikuwa nae kwa kumsaidia chuoni na hamkupanga kuoana, ila ana maisha mazuri na unapenda 'hela' yake.(Hauko kimapenzi sana kwake)ndio maana unawazia hiyo hela anayokuongezea.

Sasa najiuliza tumeumbwa tukiwa na moyo mmoja!huu moyo unapenda wangapi kwa wakati mmoja? Hivi real love inatokea mara ngapi kwa mtu? Unaweza kumpenda mtu real kabisa then mkaachana ukampate mwingine mkapendana kwa mapenzi ya dhati kabisa kama penzi la awali?

Mpaka umefika hapa tayari yamekushinda ndugu, wa mjini wanasema hauna 'key' umeshikika hautoki. Pole sana.

Maamuzi ya maisha yako na faamilia yako ni muhimu kuyatafaaakari mwenyewe kwa upana wake. Ushauri wa watu ukichukua hapa kesho utarudi kulalamika na jingine. Jenga uwezo wa kutatua mustakabali wa maisha yako mwenyewe.

Sent from JamiiForums

Ndugu vaa Viatu vyangu na vya mchepuko uweze kuona vizuri
 
Back
Top Bottom