Mchepuko sawa, lakini nyumbani patupu

Mchepuko sawa, lakini nyumbani patupu

kayuguyugu

Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
30
Reaction score
30
Ndugu wanajamii naomba ushauri kuhusu mchepuko na mama watoto wangu,ninapo kuwa na mchepuko kitu kinasimama ile mbaya lakini nanapokutana na mama watoto napata hamu kabisa ya tendo na kitu kinasimama kweli punde nanapotaka kupanda na kuchomeka kitu ndani basi hupoteza nguvu.

Kipindi chote cha kufanya maromance huwa na kuwa katika hali nzuri ila nikijaribu nipande ngamia basi naishia njiani,najiuliza maswali mengi bila majibu,usiombe hali hii ikutokee jmani ni hatari sana huku mwenzakoo mzuka umeisha panda anasuburi umtimizie kisha mambo hayaendi sawa,hakuelewi kabisa naombeni ushauri nifanye nini niepukane na aibu hii.
 
Tatizo ni wewe, unamchukia mkeo na unafanya nae ili mradi tu!
Ukitaka kuwa nae tayari unajisemea moyoni "afadhali ya huo mchepuko unaokuvutia zaidi".
Basi hasira inakuwakia juu ya Mke wako na automatically ngoma lazima isinyae!!

Mkuu,mpende mkeo, mpendezeshe mkeo mfundishe mkeo nini akufanyie "to keep you going"

Achana na mambo ya michepuko ni uchafu tu ambao wanaume tunajaribu kuuhalalisha na wengine tunadanganyana kuwa utakua na furaha kwa kubadilisha wanawake!
Huwezi ukaugawa upendo!!!
 
Acha mchepuko akuloge kabisa. Mtu una-mke lakini bado unajifanya kijogoo huko nje.
 
Utakua unamdhamini mchepuko kuliko mke, humpendi mkeo wewe.
Hata niwe ma michepuko mingapi kwa mke kwangu nguvu hua maradufu zaidi
 
mpe likizo mkeo, akapigwe mashine mwezi mzima akirudi utamtaka tu,
 
Umepoteza hisia kwa mkeo wanaume Mungu anawaona mjue
 
Hapo huna tatizo lolote, ni kwa vile umempa mchepuko nafasi kubwa ktk hisia zako za kimapenzi. Jaribu kuacha kumfikiria huyo mchepuko, jenga hisia kuwa mkeo ndio mrembo na mtamu kuliko mchepuko.
Na ukitaka ku-do na mkeo, tafuta kitu kimoja mwilini mwake (titi, paja, tumbo, tako, etc) kinachokuvutia, then kiangalie hicho tu huku na hisia/akili/mawazo/.. vyote weka hapo, dudu halitaanguka, uta-do!
 
Back
Top Bottom