Mchepuko sawa, lakini nyumbani patupu

Mchepuko sawa, lakini nyumbani patupu

Tatizo ni wewe, unamchukia mkeo na unafanya nae ili mradi tu!
Ukitaka kuwa nae tayari unajisemea moyoni "afadhali ya huo mchepuko unaokuvutia zaidi".
Basi hasira inakuwakia juu ya Mke wako na automatically ngoma lazima isinyae!!

Mkuu,mpende mkeo, mpendezeshe mkeo mfundishe mkeo nini akufanyie "to keep you going"

Achana na mambo ya michepuko ni uchafu tu ambao wanaume tunajaribu kuuhalalisha na wengine tunadanganyana kuwa utakua na furaha kwa kubadilisha wanawake!
Huwezi ukaugawa upendo!!!
Well said huwez kugawa upendo lazima utampenda mmoja zaidi
 
Wanawake mliopo kwenye ndoa Mungu awatie nguvu kwa kweli!!
hahahahahah avatar yako hahahahah
332256.jpg
 
Mkuu itakuwa kila unapotaka kuingiza unaona papuchi ya mchepuko wako. Na unawaza je akikuita baadae itakuwaje? Ndo shida ya kuwa na michepuko karibu.
 
Mkuu kuna mambo mengi yanayosababisha ufikwe na hali hio. Kwanza ujue hauko peke yako ni tatizo linalotukabili wanaume tulio wengi ambao tupo kwenye mahusiano rasmi, itatokea tu siku mambo yanakuwa kama hivo, hali hio inasabishwa na mambo mengi kama, uzalishaji mdogo wa homoni za testosterone, kuangali porn kwa muda mrefu ukiangalia porn kwa muda mrefu unalazimisha akili iwaze zaidi picha kuliko mahusiano, ulevi, uchofu wa kazi, kutojishughulisha na shughuli za kijamii, kuogopa tendo la ndoa na mengineo, jaribu kuangalia wapi kuna tatizo urekebishe
 
Dawa ni kuacha michepuko na uhamishie akili yako yote kwa mke wako
 
yaani madem wa nje ni kiboko mtaalam tayari umeshasetiwa na sangoma ukome kuchepuka
 
ungekua unamkula mke wa mtu huwa tunaita TEGO sasa hapo mchepuko kashafanya yake
 
Mkuu kuna mambo mengi yanayosababisha ufikwe na hali hio. Kwanza ujue hauko peke yako ni tatizo linalotukabili wanaume tulio wengi ambao tupo kwenye mahusiano rasmi, itatokea tu siku mambo yanakuwa kama hivo, hali hio inasabishwa na mambo mengi kama, uzalishaji mdogo wa homoni za testosterone, kuangali porn kwa muda mrefu ukiangalia porn kwa muda mrefu unalazimisha akili iwaze zaidi picha kuliko mahusiano, ulevi, uchofu wa kazi, kutojishughulisha na shughuli za kijamii, kuogopa tendo la ndoa na mengineo, jaribu kuangalia wapi kuna tatizo urekebishe

mkuu asante sana kwa ushauri wako mzuri,kunakitu umesema kimenigusa kabisa ,ni kuangalia sana porno film,kweli nimekuwa muathirika mkubwa kuangalia movies hizo.
Kuanzia leo naacha kuangalia ili nioe kama nitarudi katika hali yangu.Hal hiyo inanikosesha sana amani ndani ya nyumba yangu,nashindwa kabisa kumridhisha malkia wangu.
Asante mkuu kwa hekima na busara zako
 
Mkuu kuna mambo mengi yanayosababisha ufikwe na hali hio. Kwanza ujue hauko peke yako ni tatizo linalotukabili wanaume tulio wengi ambao tupo kwenye mahusiano rasmi, itatokea tu siku mambo yanakuwa kama hivo, hali hio inasabishwa na mambo mengi kama, uzalishaji mdogo wa homoni za testosterone, kuangali porn kwa muda mrefu ukiangalia porn kwa muda mrefu unalazimisha akili iwaze zaidi picha kuliko mahusiano, ulevi, uchofu wa kazi, kutojishughulisha na shughuli za kijamii, kuogopa tendo la ndoa na mengineo, jaribu kuangalia wapi kuna tatizo urekebishe
mkuu naomba kujua hili tatizo la uzalishaji mdogo wa homoni za testosterone husababishwa na nini na tiba yake ni nini?
 
Back
Top Bottom