Mchepuko oyeee!

Mchepuko oyeee!

Nafikiri mahala pazuri ambako ulipaswa kuutangaza huu umal*** wako ni mtaani kwenu kisha ndio ungekuja humu,naona umeamua kuutukuza umal***
 
Yawezekana mme kazi yake kujaza misosi ndani na kujisahau kama huyo mke aliacha kwao hivyo
vyote kamfuata yeye, ila kusema ukweli wanaume wengi wanajisahau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo huu. Kinyume chake ndiyo ukweli, yaani wanawake walioolewa ndiyo wanaojisahau. Wanaume hata siku moja hatujajisahau. Mara nyingi wanawake walioolewa wanatufanya tuwakinai. Ndiyo kama huyu aliyeanzisha hii mada, unadhani muolewaji huyu kahaba mkubwa.
 
Kama haupo kwenye ndoa nyamaza , ila sina mabishano na mtu ni mawazo yangu hayo huwenda ndiyo watu ninaokutana nao huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema mko makini na mchepuko wako kuhusu maradhi?lakini unakubali kwa mkewe hafanyi kama anavyofanya kwako?na mkewe akiwa na mchepuko wake wa kumkuna kwa siri?na huo mchepuko wa mkewe nao kama una mke ambae nae ana mchepuko?bado sijamzungumzia mumeo na mchepuko wake na mchepuko wa mchepuko wa mumeo
Wako wangapi!? Ni swali muhimu ambalo hajajiuliza bado.
 
Chaajabu na kushangaza Hapo ukikuta Sms ya mwanamke kwenye simu ya mumeo unamtukana mumeo nakumwona malaya nakuanza kusema nirudishe kwetu na kumtangaza kuwa anasaliti… yani wanawake mnajijua wenyewe
Habari wanajamvi,

Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua.

Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na sitegemei kumwacha. Na naweza sema jamani michepuko inaimarisha kutunza ndoa ukiwa na mchepuko wako ukakupenda na mkaheshimiana na mkawekeana misingi yenu, wacha niendelee kusema michepuko hoyee.

Sitaki ushauri wenu wa hoo sijui maradhi yapo, jibu ni kwamba tuko makini na mchepuko wangu kuliko mjuavyo, na ananikuna haswaa na ananijali sana.

Ila swali moja la kizushi, kwanini wanaume mlioko kwenye ndoa mkiwa kwenye sita kwa sita amuwapi mashamsham wake zenu ila mkitoka nje mnaonyesha ufundi ambao hamuwapi wake zenu? Hata mimi nina imani huyu mume wa mtu niliye nae ananipa mashamsham kama yote ila najua kwa mkewe atakuwa anampapasa.

Kwakweli mimi sijutii, na kama dhambi nimeshatubu sababu hata Mungu naye ni shahidi anaona ninachopata.

Wale wote wenye bibi wa kando na babu wa kando tuseme hoyeeeee.

Kwa kumalizia nasema hivi: Mchepuko wangu nampenda sana na na mume wangu nampenda na ndoa yangu siachi na yule naye namshauri sana asimwache mkewe, sisi tupo kwa ajili ya kurutubisha ndoa zetu na kujenga.

Karibuni.

mimi nilitegemea watu kama nyinyi baba zetu au mama zetu ndo mtufundishe sisi vijana kuwa na maadili na kujiheshimu na ndoa zetu lakini ndio kwanza mnajisifia kwa kufanya uzinzi ila ndo maana mimi mtu siku hizi nikiona anaoa au anaolewa namuonea huruma ....fuvk yuo and him and your husband cause his stupid how the fucvk he didnt even realize you screw another man for all these years.wanawake ni watu wa hovyi ndio maana mumeumbwa kwa ajili ya ngono na sio kingine hapa duniani
 
Back
Top Bottom