Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,051
Ndiyo hivyo hilo cheko, linakuwa la huzuni.usicheke ni janga
Ndiyo hivyo hilo cheko, linakuwa la huzuni.usicheke ni janga
Tulieni dawa iwaingie vizuri, mnapokuwa mnahangaika huko na wapaka make-up huku wake zenu mnawasahau mnategemea nini? Hata wanawake wanaMumeo ndo unae Muumiza. Uzuri uovu haujawahi kubaki gizani. Ndo nyie badae wanaume tunalaumiwa kwamba bora tungeachana je mda wangu unaotumia kunidanganya. Piga Shaba tu pu...vu

moyoHapo nikubadilishana radha mke anaitafuta huko na mke anaye anaifuata kule wakija kuchanganya wazinifu° ²Mimi nahisi umwambie mumeo kuwa amebadilika hakukuni kama zamani,lol, unless alikua hakukuni tangia zamani,lol...
Ila hizi ndoa hizi, yaani hapo huyo mchepuko wako ukute nae hajitumi kwa mkewe....na wewe mumeo 'anajituma' sana mahali.......khaa..
Na wanaumiaga kweli acha dawa iwaingie vizuri, kwa wake zao wapo buys sasa ngoja wasaidiwe na wao, si kila siku kuwasema wanawake, ni zamu zao ngoja apate kitu roho inapendayaani hii Post naona wanaume mapovu yanawatoka ila angekuwa kidume kapost ingekuwa balaa.. acha muumizwe tu maana na nyie mnawaumiza wake zenu vya kutosha



Mzinzi aliye kwenye ndoa, uasherati ni wakupuyanga ndoa za muda huo huo, ndiyo naelewa hivyo.hivi kuna tofauti gani Kati ya uzinzi na uasherati
Kila mtu akitulia na chaguo lake itatulia kama ulichagua gunia unavumilia kama unachagua kama sokwe mtu hivyo hivyoHuu uzi ulitoa wanaume povu la kwenda, ila reality ameizungumza bwana/bibi dagaa, wengi ndoa zishawashinda..ni mwendo wa kuzini tu. Wake zetu wanaliwa, waume za watu wanakula vya nje sio poa.




Sio rahisi kutulia Ulweso, tuseme tu ukweli. Walau uwe na mmoja tu huko nje, inatosha😁😁Kila mtu akitulia na chaguo lake itatulia kama ulichagua gunia unavumilia kama unachagua kama sokwe mtu hivyo hivyo![]()
Hahahaha cheni ni ndefu hatari.Unasema mko makini na mchepuko wako kuhusu maradhi?lakini unakubali kwa mkewe hafanyi kama anavyofanya kwako?na mkewe akiwa na mchepuko wake wa kumkuna kwa siri?na huo mchepuko wa mkewe nao kama una mke ambae nae ana mchepuko?bado sijamzungumzia mumeo na mchepuko wake na mchepuko wa mchepuko wa mumeo
Nakupa 100 kwa 100 dada,kwa mchepuko safari ya kwa mpalange unaendeka lakini kwenye ndoa eti kwa mpalange haramuHabari wanajamvi,
Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua.
Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na sitegemei kumwacha. Na naweza sema jamani michepuko inaimarisha kutunza ndoa ukiwa na mchepuko wako ukakupenda na mkaheshimiana na mkawekeana misingi yenu, wacha niendelee kusema michepuko hoyee.
Sitaki ushauri wenu wa hoo sijui maradhi yapo, jibu ni kwamba tuko makini na mchepuko wangu kuliko mjuavyo, na ananikuna haswaa na ananijali sana.
Ila swali moja la kizushi, kwanini wanaume mlioko kwenye ndoa mkiwa kwenye sita kwa sita amuwapi mashamsham wake zenu ila mkitoka nje mnaonyesha ufundi ambao hamuwapi wake zenu? Hata mimi nina imani huyu mume wa mtu niliye nae ananipa mashamsham kama yote ila najua kwa mkewe atakuwa anampapasa.
Kwakweli mimi sijutii, na kama dhambi nimeshatubu sababu hata Mungu naye ni shahidi anaona ninachopata.
Wale wote wenye bibi wa kando na babu wa kando tuseme hoyeeeee.
Kwa kumalizia nasema hivi: Mchepuko wangu nampenda sana na na mume wangu nampenda na ndoa yangu siachi na yule naye namshauri sana asimwache mkewe, sisi tupo kwa ajili ya kurutubisha ndoa zetu na kujenga.
Karibuni.
Sio rahisi kutulia Ulweso, tuseme tu ukweli. Walau uwe na mmoja tu huko nje, inatosha![]()

Hapo Mme anakuwa na mmoja huko, na mke naye anakuwa na mmoja huko halafu usiku mkikutana unafiki mwingiii kumbe kila mtu katoka kapoza hukoSio rahisi kutulia Ulweso, tuseme tu ukweli. Walau uwe na mmoja tu huko nje, inatosha![]()




Ili uishi vizuri unafiki unatakiwa. Yaani hakuna maisha bila unafiki, hasa kwenye ndoa...kuna wakati watu wanasema "I love you" kumbe moyoni wao ndio wanajua.Hapo Mme anakuwa na mmoja huko, na mke naye anakuwa na mmoja huko halafu usiku mkikutana unafiki mwingiii kumbe kila mtu katoka kapoza huko![]()
Watasema watachoka wao washindwe wenyewe shauri yao hawakupi pumzi na wala hela ya matumizi uzi ni wako endelea kula raha mwenyewe kwani sh . Ngapi .
Ila angalia humu watu kama wakujui kwa maana huku Mungu ndiye anayejua .kwa wivu wataenda kukusema ukaanza kushangaa mjini .
Bwana wee mbussu na de libolo tumepewa buree wacha tupeane mautamuyaani hii Post naona wanaume mapovu yanawatoka ila angekuwa kidume kapost ingekuwa balaa.. acha muumizwe tu maana na nyie mnawaumiza wake zenu vya kutosha
Tusinyimane utamu jamaniTukubali tukatae hayo ndo maisha halisi tulokuwa nayo ktk familia/ndoa zetu...
Huyu ana nyumba ndogo...
Huyu ana mchepuko..... Ngoma droo..😂🤣🤣